BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
- #21
Gen z wanapigania maisha sawa kwa wakenya wote, Kenya ni ya wote na sio wachache. Kila mwaka Wakenya wanao kufa kwa kukosa huduma za afya ni maelfu kwa maelfu.Soweto sio Kenya.Kutumia.mfano wa Kenya ni aibu na ujinga maana hiyo ni Nchi ya kijinga.
Vitu vidogo kama hovyo haihitaji kuuana ndio Serikali ifanye, Soweto walikuwa wanatafuta ukombozi.
Mfano hapa Tanzania Serikali ilifuta na kupunguza tozo bila hata mtu mmja kuuwawa,imepunguza by half Bajeti ya magari,imepunguza by half matumizi ya kawaida bila hata mtu kuuwawa.
Na mengine mengi itafanya bila mtu kuuwawa.Unatakiwa uwafundishe hao WaKenya utaratibu wa Tzn sio kutolewa mfano kwetu Kwa sababu ni matusi.
Tanzania Serikali yake haina tofauti na ile ya Makaburu wa South Africa tena bora hata wale.
Kuna raia wangapi Tanzania wanakufa kwa kukosa huduma za afya? Sio jana tu Morogoro kijana wa SUA kafa kwa sababu ya huduma za kihuni za afya? vipi na yeye kafa akiwa anaandamana?
Hapa Bongo report za CAG huwa ni za kwenda kujitawazia chooni make hazifanyiwi kazi na hata report ya mwaka huu labda isha ishilia chooni.Haya ndio oia Gen z walikuwa wanapigania vitu kama hivyo.