GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kibu Denis
Mechi 7
Magoli 4
Fiston Mayele
Mechi 10
Magoli 3
Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa Watangazaji na Wachambuzi ambao Kutwa huwa wanaisifu ( wanaipamba ) tu Yanga SC hata kama kwa mara ya Pili jana imebebwa tena na Mwamuzi ( Referee ) kwa 'Kuzawadiwa' Penati.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE bado sijaona Magoli mazuri kama lile moja la Msimu uliopita lililofungwa na Beki Mohammed Hussein Tshabalala Mkoani kwa kupiga Muwa ( Shuti ) ambalo Kwanza liligonga Mwamba wa juu, ukagonga wa pembeni na kujaa Nyavuni.
Lingine ni la Juzi la Mshambuliaji Kibu Denis ambapo alipiga Muwa ( Shuti ) ambalo Kwanza lilijaa mno Mguuni, ukaenda vizuri na ukajaa ipasavyo Nyavuni. Na aliupiga akiwa mbali kidogo na ni Goli ambalo hata IMF au WB wanaweza Kukupa Mkopo wa Riba nafuu.
Nina Mdogo wangu huku Mtaani ( Uswahilini ) Kwetu anafunga mara kwa mara haya Magoli kama alilofunga jana Fiston Mayele halafu wala haringi ila anahangaika sana kutaka Kufunga Magoli kama hilo la Mohammed Hussein Tshabalala na Kibu Denis ila anashindwa kwa kusema kuwa ni Magoli magumu na yanahitaji Akili Kubwa sana Kuyafunga.