Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

Mayele= B52 Dege la kivita la marekani
Kibu Denis= Gobole
Kamwe Huwezi kufananisha hawa watu
Huwezi kufananisha mbingu na Ardhi
 
Mchambuzi wa mchongo,uko kwenye peyi roho ya Babra.Njaa itakuua wewe kila kukicha Unaizungumzia Yanga huna kazi nyingine yoyote zaidi ya kuisema na kuichambua Yanga wakati wote.Njaa itakuua,mwenyewe unajiona umepata ajira
 
Fiston Mayele amekuwa Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Congo DR lini katika Kumbukumbu zako wakati kama tu Djuma Shaaban mnayemsifu akiitwa huwa anaishia tu Kuchoma Mahindi benchini?
Acha kumuonea wivu Mayele aka B52
 
Umetumia vigezo gani ? Pale Yanga mastraiker mlionao ni wakawaida sana (Makambo & Mayele), ndomaana hâta magoli mengi ya Yanga msimu huu yanafungwa na Viungo.
Ni mfumo wa kocha,kila mchezaji Yanga anafunga.
 
Tye! Tye! Tye! Hivi ni wewe? Mi nikajua labda najibizana na mtu wa mpira! Kumbe ni yule fundi wa michezo ya Kabwili ! Huku umevamia fani. Tangu lini mayere kajumuishwa timu ya taifa drc kongo?Tye!Tye!Tye!!
Hapa ndo tutajua sasa kati ya wewe na yeye nani mtu wa mpira na nani wa michezo ya kambwili[emoji1787][emoji1787][emoji38]

 
Fiston Mayele amekuwa Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Congo DR lini katika Kumbukumbu zako wakati kama tu Djuma Shaaban mnayemsifu akiitwa huwa anaishia tu Kuchoma Mahindi benchini?
Muulize kaseja atakueleza, hajaanza kuwafunga makolo pale kwa mkapa, hata taifa stars aliwaadhibu hapohapo kwa mkapa

 
Wewe acha bangi,unayovutia ma takoni,goli la mayele hakuna nchi hii

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama mechi kumi inatosha ku-draw conclusion ya nani bora kumzidi mwenzie? Ni kama ambavyo Yanga anaongoza ligi sasaivi (hata kabla ya gemu ya jana), je inatosha kusema Yanga ni bora kuliko timu zote? Tuwape muda, ikiwezekana msimu mzima
Una maoni gani kuhusu hiyo Takwimu hapo juu Mkuu kati yake na ya Kibu Denis?
 
Kibu hafanani na myele kabisaa
Mayele mashine ingine kabisaaa mzee baba hata kama huiaki yanga utaipend tu
Goli lile bonge la bao aseee yaani unaanglia ulikotoka unafunga nyuma hataree sana ni magoli machache sana msimu huu toka uanze kufungwa kwa tik taka kali kama.ile zile pele ndo alikuwa zake 🤣🤣 ukisema magoli ya kibu ya kawaida sanaa fei anafunga kila.siku
Acha roho mbaya wewe na utakufa kabisa yanga saizi haikamatiki kabisa na mbaya mnajipa moyo yanga itakata moto kama msimu uliopita mnacheza mpira kwa historia 🤣🤣 yanga hii ni tofauti kabisa na ile ya kina molinga kwa kila kitu benchi jipya wachezaji karibu wote ni wapya asee nyie simba mtazirai kabisaaaa .simu huu mtasubiri sana
Yanga oyee daima mbele nyuma mwiko
 
Goli la Mkongo wenu Rasta kuna matatu ya Feitoto keshafunga chagua la kushindanisha nalo
 
Bro usishindane nao hata Rage aliwashindwa
 
Mayele anawavuruga akili mpaka wanarudia nyuzi kila mara topic ni Moja tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…