Wakati tunaambiwa: "Chapa kazi, chukua tahadhari" Hali halisi ni hii...

People,usijaribu ku linganisha ukimwi na covid,covid is more dangerous kwa kasi ya kusambaa na njia za kusambaa.
At least ugonjwa unaathiri zaidi wazee,vinginevyo vilio vingekua maradufu
 
Akili za ajabu hizi; kwa hiyo kwa kuwa ni asilimia moja (na sijui umejuaje kuwa ni kiasi hicho) basi hakuna haja ya kuokoa ajira zao, si ndio?
Unaokoaje ajira wakati ndege haziruki?
Mzunguko wa pwsa enwo la kariakoo tu kwa siku moja tu unaweza kulipa.mishahara yote Atc kwa mwezi
 
Unaokoaje ajira wakati ndege haziruki?
Mzunguko wa pwsa enwo la kariakoo tu kwa siku moja tu unaweza kulipa.mishahara yote Atc kwa mwezi

Ulichouliza kinatabanaisha uwezo wako wa kuelewa. Huu Uzi sio size yako.
 
Baada ya kupima watu wengi, utaowakuta positive unawapeleka wapi?
 
Jiwe nchi imeshamshinda ,weird human being and an artist
 
Hili la kufuta bunge namuunga mkono Idd Amin,,
 

Huo ni uzushi unaotaka kuleta hapa na kuwaaminisha watu aisee. Hivi umeisoma sera ya wizara ya afya wewe?? Hujui kwamba kuna vitengo vya magonjwa ya mlipuko, yanayoambukiza na yasiyoambukiza, kurithi, n.k. n.k?? Halafu kwa hii covid19, Unawezaje kuandaa sera kwa “novel disease?”
Wakati mwingine turuhusu tu akili zetu kuchambua mambo kabla ya kuleta ujuaji. Dunia nzima inahangaika kujua na kujifunza kuhusu huu ugonjwa halafu mtu unakuja kusema hakuna sera nzuri, ooh elimu ya kutosha haipo, sijui ni na nini, khaa. Ugonjwa una miezi 4 tu tangu kuripotiwa duniani hata kinga haijapatikana achilia mbali dawa halafu leo mtu unataka sera, mpuuzi kabisa.
Katika kipindi hiki ambacho kila mtaalamu anahangaika kupata suluhisho la tatizo hili, hata hiyo elimu unaifikishaje wakati bado ugonjwa haujaeleweka vizuri? Mwanzo tuliambiwa ni pneumonia, sasa hivi wamegundua ni inflammation and clotting sasa hata hiyo elimu unaitoaje wakati uncertainities ni nyingi hivii. Tuwe tunapunguza mihemko na ushawishi wa wanasiasa jamani. Mambo ya kitaalam yaachwe kwa wataalam kuhangaika nayo vinginevyo tunawatia uchizi hata wataalam nao wanakumbwa na kisulisuli hichi cha siasa matokeo yake wanashindwa kufanya mambo yao kwa usahihi. Mfano tu, vifaa tiba vya kibinadamu kutoa majibu kwa hata mimea, wanyama wengine na oil za mashine!! Haya ni matokeo ya kuleta ujuaji kusikohitajika ujuaji.
Tusitake kufanya mambo kwa mkumbo na kufata upepo au ushawishi kisa tu mkubwa fulani kasema.
Ni lazima ifike mahali turuhusu akili zetu kuhoji na kutafakari mambo kwa kina, kuiga sio kubaya lakini iga jambo lenye manufaa kwako baada ya kujiridhisha kuwa linafaa kuigwa
 

Sasa hao unaotaka kushirikiana nao si ndio wamesababisha hilo (makampuni kufungwa, shule, nk) halafu unakujaje kuilaumu serikali hapa?? Nadharia ya lockdown unaijua imetoka wapi?? Why are you shifting blames?
Halafu kupima watu wengi hakuepushi maambukizi bali wape elimu zaidi ya kujikinga na kuwakinga wengine haijalishi awe hajaambukizwa ama kaambukizwa. Mtu mwingine akishajijua ana maambukizi ndio kwanza atafanya makusudi kuwaambukiza wengine, ushahidi upo na hata video clips nyingi tumeziona hadi Ulaya hukoo
Mwisho wewe maoni yako ulitaka iweje kwani??
 
Mkuu huu mchezo hauhitaji hasira

Kujifungia Ndani hakumalizi corona, ni swala la muda tu kila Nchi itajiachia

Watajiachia/wanajiachia baada ya kucontrol maambukizi, angalia sasa hivi wanavyoishi kwa nidhamu, wewe umejiachia lakini umekuwa unatengwa kwa sababu umekuwa kitovu cha maambukizi katika ukanda wenu, ndugu ni kweli huoni kama kuna tatizo?
 
Corona haiwezi kuisha leo wala kesho, sikiliza wanasayansi Wewe kamanda

Hao waliojifungia watarudi wataikuta corona
Watajiachia/wanajiachia baada ya kucontrol maambukizi, angalia sasa hivi wanavyoishi kwa nidhamu, wewe umejiachia lakini umekuwa unatengwa kwa sababu umekuwa kitovu cha maambukizi katika ukanda wenu, ndugu ni kweli huoni kama kuna tatizo?
 
sasa akiwaruhusu kulala atapata wapi pesa ya kuwalipa miishahara? ………..kodi atakosa bana kubwa. Bora punda afe mzigo ufike………………
 
Tumpongeze
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kuiondoa COVID 19, Lazima Utajiuliza Maswali Mengi Sana Kaiondoa Vp?
 
Nijambo la kushangaza mtu anasema Tanzania haipo ukiangalia Rwanda hali tete ukiangalia Burundi hali tete ukiangalia kenya hali tete sasa mipaka hii yote hakuna hata mmoja umefungwa alafu mtu anakuja na ngojera et Tanzania sara zimezuia covid yaan watu tunaoona wanaondoka ghafla ukichunguza kiundani ni covid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…