kianja kyamutwara
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 200
- 206
Lengo si kujifungia ila selikari itambue ugonjwa huu kwamba upo ili mwenye kujikinga ajikinge kuliko kuwaaminisha watu yakua haipo hivo wale ambao ni vunerable na covid tunawapoteza kila uchao kwa visingizio et ni pumu mara moyo n.kUnataka Raisi afanyaje kwa mfano wape ajira basi ww, pumba tupu unajishushia heshima kuna ndugu yako kafa kwa covid au unaropoka tu ili mradi kukuza mambo