Wakati tunajiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020: Tanzania yaongoza Afrika usambazaji umeme Vijijini

Amani Msumari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
1,830
Reaction score
972
Ndugu zangu,

Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura.

Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu, sasa rasmi Tanzania yaongoza Afrika katika usambazaji wa umeme vijijini.

Sote tunatambua umuhimu wa nishati ya umeme kwa maendeleo ya nchi

Hongera JPM
Hongera serikali
Hongera CCM

2020 kura kwa John
 
Wewe unaishi Dar, njoo mikoa Kanda ya ziwa ili useme umeme umeenea kila kijiji. Hapa bukombe Jimbo la mh. Doto biteko Kijiji Cha nampalahala tuko gizani tangu Uhuru, huko geita mjini Kijiji kinachopakana au kuelekea eneo la kukuruma wanakochimba dhahabu hata nguzo za umeme hawazijui.

Maeneo ya bisolwa Kona nyangwale wanaona nguzo zinapia na umeme Ila Hakuna transformer. Huku katavi na simiyu usiseme. Mallya unaishi dar kuwa mpole. Niulize waziri wa nishati kwao ni Geita Ila geita vijiji na maeneo mengi hayana umeme na Kama ipo umepita tu wananchi wanahesabu nguzo tu.
 
Wewe unaishi Dar, njoo mikoa Kanda ya ziwa ili useme umeme umeenea kila kijiji. Hapa bukombe Jimbo la mh. Doto biteko Kijiji Cha nampalahala tuko gizani tangu Uhuru, huko geita mjini Kijiji kinachopakana au kuelekea eneo la kukuruma wanakochimba dhahabu hata nguzo za umeme hawazijui..
Usinilishe maneno bwashee. Nimesema tunaongoza, means tunafanya vizuri.
 
Mwambine Lissu na wenzake waendelee kutukana kwamba JPM na CCM watapigiwa kura na nguzo, nyaya, tranformer za umeme vijijini.
Wakati Lisu anabwatuka hayo anachomeka simu yake kwenye umeme uliowekwa na selikali!

Ametembea kwa gari mikoa zaidi ya 10 sababu mikoa hiyo ina lami kila kona,

Huyu tutamchinja kwenye box la kura
 
Nauliza tu. Hivi ni kweli Tanzania tunavyo vijiji visivyozidi 12,000?.
 
Kwa iyo kama mnaweka umeme vijijini ndo mpige watu risasi??? Mbambikizie watu kesi? Mteke watu na kuwaua?

Mbona hilo la umeme vijijini alilianzisha Kikwete na yeye ndo aliweka hadi kwenye bajeti kodi kidogo ya mafuta iende REA ili kufanikisha haya mnayojisifia leo?

Mbona kikwete hakupiga watu risasi? Hakuminya uhuru wa watu???? Hakuteka watu na kubambikizia watu kesi?

Kwani Makaburu hawakuweka umeme vijijini South Africa? Mbona waliondolewa? Unajua South Africa hadi mwaka 1990 Mandela anatoka gerezani ilikuwa wapi kimaendeleo?
 
Wewe unaishi dar, njoo mikoa Kanda ya ziwa ili useme umeme umeenea kila kijiji. Hapa bukombe Jimbo la mh. Doto biteko Kijiji Cha nampalahala tuko gizani tangu Uhuru, huko geita mjini Kijiji kinachopakana au kuelekea eneo la kukuruma wanakochimba dhahabu hata nguzo za umeme hawazijui. Maeneo ya bisolwa Kona nyangwale wanaona nguzo zinapia na umeme Ila Hakuna transformer. Huku katavi na simiyu usiseme. Mallya unaishi dar kuwa mpole. Niulize waziri wa nishati kwao ni Geita Ila geita vijiji na maeneo mengi hayana umeme na Kama ipo umepita tu wananchi wanahesabu nguzo tu.
Kwa hiyo wanaposema vijiji 3000 bado ulitaka viwe wapi kama sio kijiji chako?
Unachotakiwa ni kusubili umeme utakuja tu
 
Kwa iyo kama mnaweka umeme vijijini ndo mpige watu risasi??? Mbambikizie watu kesi??? Mteke watu na kuwaua?????

Mbona hilo la umeme vijijini alilianzisha Kikwete na yeye ndo aliweka hadi kwenye bajeti kodi kidogo ya mafuta iende REA ili kufanikisha haya mnayojisifia leo?????

Mbona kikwete hakupiga watu risasi??? Hakuminya uhuru wa watu???? Hakuteka watu na kubambikizia watu kesi????

Kwani Makaburu hawakuweka umeme vijijini South Africa??? Mbona waliondolewa????? Unajua South Africa hadi mwaka 1990 Mandela anatoka gerezani ilikuwa wapi kimaendeleo?????
Jamani umeme vijijini unawekwa na REA,REA unapata fedha kupitia kwa wateja wa Tanesco,ukinunua umeme wa matumizi yako unakatwa fedha za REA. Ni sawa na uchaguzi wa Kura za maoni zikizofanywa na ccm ,wale wagombea walichangishwa fedha za kuendesha uchaguzi na fedha Zoho hizo zilitumika kuwagawia wajumbe posho na vyakula na vinywaji,means CCM haikutoa hata sent tano kuendesha uchaguzi. Sasa ukiona mgombea ameteuliwa tarehe 22.8 ameteuliwa kutoka na biko iliyochezwa na wagombea wenzake na sio mtaji wa CCM.pia REA ni nguvu za wananchi. Someni muelewe
 
Lisu atasema maendeleo ya vitu si watu, sijui umeme wanatumia kuku?
 
Kwa iyo kama mnaweka umeme vijijini ndo mpige watu risasi??? Mbambikizie watu kesi??? Mteke watu na kuwaua?????

Mbona hilo la umeme vijijini alilianzisha Kikwete na yeye ndo aliweka hadi kwenye bajeti kodi kidogo ya mafuta iende REA ili kufanikisha haya mnayojisifia leo?????

Mbona kikwete hakupiga watu risasi??? Hakuminya uhuru wa watu???? Hakuteka watu na kubambikizia watu kesi????

Kwani Makaburu hawakuweka umeme vijijini South Africa??? Mbona waliondolewa????? Unajua South Africa hadi mwaka 1990 Mandela anatoka gerezani ilikuwa wapi kimaendeleo?????
Jamani umeme vijijini unawekwa na REA,REA unapata fedha kupitia kwa wateja wa Tanesco,ukinunua umeme wa matumizi yako unakatwa fedha za REA. Ni sawa na uchaguzi wa Kura za maoni zikizofanywa na ccm ,wale wagombea walichangishwa fedha za kuendesha uchaguzi na fedha Zoho hizo zilitumika kuwagawia wajumbe posho na vyakula na vinywaji,means CCM haikutoa hata sent tano kuendesha uchaguzi. Sasa ukiona mgombea ameteuliwa tarehe 22.8 ameteuliwa kutoka a na Niko iliyochezwa na wagombea wenzake na sio mtaji wa CCM.pua REA ni nguvu za wananchi. Someni muelewe
Lisu atasema maendeleo ya vitu si watu, sijui umeme wanatumia kuku?
Tatizo lililotekea tanzania na ambalo watanzania hawakulizoea ni vitisho. Wafanyabiashara wafugaji,wakulima,watumishi,wasio na ajira nawateule wote wanatishwa kila kukicha.Hawajui kesho Nini kitatokea. Sasa imefika pahali watu hawataki Tena vitu wanataka UTu,upendo,na amani na wajue hatima ya maisha yao kesho.Watanzania wengi Sasa wanaishi maisha Kama ya digidigi porini.
 
Wakati Lisu anabwatuka hayo anachomeka simu yake kwenye umeme uliowekwa na selikali!

Ametembea kwa gari mikoa zaidi ya 10 sababu mikoa hiyo ina lami kila kona,

Huyu tutamchinja kwenye box la kura
Huko ndio atapata salamu zetu
 
Jamani umeme vijijini unawekwa na REA,REA unapata fedha kupitia kwa wateja wa Tanesco,ukinunua umeme wa matumizi yako unakatwa fedha za REA. Ni sawa na uchaguzi wa Kura za maoni zikizofanywa na ccm ,wale wagombea walichangishwa fedha za kuendesha uchaguzi na fedha Zoho hizo zilitumika kuwagawia wajumbe posho na vyakula na vinywaji,means CCM haikutoa hata sent tano kuendesha uchaguzi. Sasa ukiona mgombea ameteuliwa tarehe 22.8 ameteuliwa kutoka a na Niko iliyochezwa na wagombea wenzake na sio mtaji wa CCM.pua REA ni nguvu za wananchi. Someni muelewe

Tatizo lililotekea tanzania na ambalo watanzania hawakulizoea ni vitisho. Wafanyabiashara wafugaji,wakulima,watumishi,wasio na ajira nawateule wote wanatishwa kila kukicha.Hawajui kesho Nini kitatokea. Sasa imefika pahali watu hawataki Tena vitu wanataka UTu,upendo,na amani na wajue hatima ya maisha yao kesho.Watanzania wengi Sasa wanaishi maisha Kama ya digidigi porini.
Tumeshawazoea pingapinga mtajipinga hadi nafsi zenu
 
Back
Top Bottom