Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries.

National security adviser Jake Sullivan said Iran could provide “up to several hundred” drones “on an expedited timeline,” but he added that it was unclear whether any of the devices had already been delivered. Citing U.S. information, Sullivan said Iran is prepared to train Russian forces to use the UAVs and could begin doing so as soon as this month.

“This is just one example of how Russia is looking to countries like Iran” to help replenish its military capabilities, Sullivan told reporters at a White House briefing, saying the arrangement shows how Russia’s war strategy is “coming at a cost to the sustainment of its own weapons.”

Sullivan did not take questions after disclosing the intelligence, and the White House’s decision to do so comes as President Biden prepares to travel to the Middle East this week, where U.S. officials have been disappointed by what they see as a lack of support for the Western campaign to isolate Russia.
===+==+====++=+====

Najua kuna limtu litakuja na hoja kwamba Russia na misuli yake yooooote anasaidiwa na Iran?

Nikukumbushe tu USA na Usupapawa wake hajawahi hata kupigana na Iraq peke yake au Libya au Syria 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwahiyo usije na hoja mfu.
 
Hii ishu imeenea CNN,Aljazeer ,BBC,sijajua inalenga nn ila kwenye masuala ya kivita sijaona kama skendo ila kisiasa ni skendo kubwa sana ,ukilinganisha Russia na Iran hailet picha Russia mwenye technology kubwa ya kutengeneza na kudungua drones leo anapokea msaada toka Iran ,ni aibu kisiasa ila kijeshi ni suala la kawaida nikimaanisha kuna uwezekano drones za Russia zimefel kufanya kaz kwa ufasaha ,sasa inahitajika technology ya kuapgrade ili zifanye kaz kiufasaha ,tatizo kawekewa vikwazo vya kununua technology mpya imebid aombe Iran ampe zake ambazo ziko upgraded, hii kivita iko sawa ,maana hata drones za Ukraine zilidukuliwa.

Wapezifanyia installation mpya ambayo ni ngumu kudukuliwa,naona hata za mrusi zimedukuliwa tatizo program mpya hawez nunua ,kutokana na vikwazo ,that why wameomba kutoka Iran
 
Hii ishu imeenea CNN,Aljazeer ,BBC,sijajua inalenga nn ila kwenye masuala ya kivita sijaona kama skendo ila kisiasa ni skendo kubwa sana ,ukilinganisha Russia na Iran hailet picha Russia mwenye technology kubwa ya kutengeneza na kudungua drones leo anapokea msaada toka Iran ,ni aibu kisiasa ila kijeshi ni swala la kawaida nikimaanisha kuna uwezekano drones za Russia zimefel kufanya kaz kwa ufasaha ,sasa inahitajika technology ya kuapgrade ili zifanye kaz kiufasaha ,tatizo kawekewa vikwazo vya kununua technology mpya imebid aombe Iran ampe zake ambazo ziko upgraded, hii kivita iko sawa ,maana hata drones za Ukraine zilidukuliwa. Wapezifanyia installation mpya ambayo ni ngumu kudukuliwa,naona hata za mrusi zimedukuliwa tatizo program mpya hawez nunua ,kutokana na vikwazo ,that why wameomba kutoka Iran
Mzee baba hapo hakuna aibu ya kisiasa wala nini! Suala ni kwamba wanataka wawaonyeshe wa magharibi kwamba urusi pia ina washirika wanaoweza kumpa backup pale inapobidi. Pili ukraine imeshakuwa shamba la majaribio ya siraha. Kila nchi yenye technolojia nzuri inataka kufanya majaribio ya siraha zake hapo. Hata marekani na washirika wake ndicho wakifanyacho huko ukraine na kwingineko. Baadae utasikia china nae katoa msaada wa siraha kwa urusi ili nae akatest mitambo yake.
 
Sio kwamba Iran nae anataka awekwe kwenye kona hapo
 
Iran ,ana double standard na hizo drone ,moja ni kutaka kuwa prove wrong wamagharibi kuwa hata Russia ana watu ,lakini mbili ni kutaka kupima uwezo wa drone zake shidi ya drone za wamagharibi na washirika wake!! Nothing more hapo!!
 
The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries.

National security adviser Jake Sullivan said Iran could provide “up to several hundred” drones “on an expedited timeline,” but he added that it was unclear whether any of the devices had already been delivered. Citing U.S. information, Sullivan said Iran is prepared to train Russian forces to use the UAVs and could begin doing so as soon as this month.

“This is just one example of how Russia is looking to countries like Iran” to help replenish its military capabilities, Sullivan told reporters at a White House briefing, saying the arrangement shows how Russia’s war strategy is “coming at a cost to the sustainment of its own weapons.”

Sullivan did not take questions after disclosing the intelligence, and the White House’s decision to do so comes as President Biden prepares to travel to the Middle East this week, where U.S. officials have been disappointed by what they see as a lack of support for the Western campaign to isolate Russia.
===+==+====++=+====

Najua kuna limtu litakuja na hoja kwamba Russia na misuli yake yooooote anasaidiwa na Iran?

Nikukumbushe tu USA na Usupapawa wake hajawahi hata kupigana na Iraq peke yake au Libya au Syria 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwahiyo usije na hoja mfu.
Salute Iranian people. Huo ndio uwanaume. Ukiana ndugu yako anaonewa lazima uingilie kati. Iran imeonyesha mfano na nina uhakika wengi watafuata. Hii kitu ni chungu sana kwa Westerner
 
Mzee baba hapo hakuna aibu ya kisiasa wala nini! Suala ni kwamba wanataka wawaonyeshe wa magharibi kwamba urusi pia ina washirika wanaoweza kumpa backup pale inapobidi. Pili ukraine imeshakuwa shamba la majaribio ya siraha. Kila nchi yenye technolojia nzuri inataka kufanya majaribio ya siraha zake hapo. Hata marekani na washirika wake ndicho wakifanyacho huko ukraine na kwingineko. Baadae utasikia china nae katoa msaada wa siraha kwa urusi ili nae akatest mitambo yake.
Kuna kaukweli ulixhosema bwashee
 
Iran hana technology yoyote ya maana na Russia kaishiwa tu ujanja. Iran ambaye kila siku analia vikwazo alivyowekewa na Marekani hana lolote huyo.
 
Back
Top Bottom