Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

Ina maana drone za Iran zina uwezo mkubwa kuliko za Urusi au Urusi kaishiwa drone ameamua kuomba kwa mshirika ?
T14 Armata
Urusi hadi hizi Forpost alizonazo ni licenced copy ya drone fulani ya Israel inaitwa IAI Searcher ambayo hata Israel haitumii kwenye attack sema mikataba ilikuwa mizuri. Urusi yeye mwenyewe hakuna na attack drone, hakuwa anaamini kwenye kutumia drones kushambulia anakomaa na helicopters. Mwanzoni uliona jinsi helicopters zake zilivyokuwa zinadondoshwa baadae akaja na guides bombs ila haziko effective kama MAM-L za Uturuki zinazotumika na Bayraktar. Kwenye drones niliwahi sema kwenye uzi fulani, nawapa nafasi USA, Israel, China, Turkey. Wengine wanafuatia, huu mlinganyo haubadiliki soon.

Attack drone ya Urusi itakuwa Sukhoi Okhotnik ambayo kuchelewa ni lazima maana ni stealth. Iran wana drones nyingi ila integrated communications na precision bado. Wacha tupime uwezo wa hizo drones, watafaidika kujua uwezo wao. Iran haizidi Urusi kwenye drones, siamini hivyo
 
Hii ni vita ni hybrid kila kitu yani humo humo kuna cyber, machuma chuma, uchumi.

Marekani si anampa bichwa Ukraine wacha mbadala wa silaha uje kukaanga hizo HIMARS ili kusudi hao viande wa Ukraine wapate kusulubiwa kama Yesu msalabani.

Swala la Alliance huwa alikwepeki as long as kuna NATO basi wacheni BRICS waje wawaoneshe makali. Naomba sana na kiduku nae ajiunge BRICS ili kuja kumnyoosha Mmarekani hapo Ukraine 😂😂😂
 
Back
Top Bottom