Hii ni vita ni hybrid kila kitu yani humo humo kuna cyber, machuma chuma, uchumi.
Marekani si anampa bichwa Ukraine wacha mbadala wa silaha uje kukaanga hizo HIMARS ili kusudi hao viande wa Ukraine wapate kusulubiwa kama Yesu msalabani.
Swala la Alliance huwa alikwepeki as long as kuna NATO basi wacheni BRICS waje wawaoneshe makali. Naomba sana na kiduku nae ajiunge BRICS ili kuja kumnyoosha Mmarekani hapo Ukraine πππ