mbedegalo mbeka
Member
- Mar 16, 2020
- 25
- 40
Hapa siyo uingereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew hata jamaa yako jogoo akishindwa kupanda mtungi utamsingizia mwenda zake!Athari za mwendazake ndo hizi, na kama mwendazake amgetawala nchi miaka aliyotaka wengi wangeuawa na kudhalilishawa vibaya mno...kina makonda na huyo gaidi mwenzake Sabaya wangefanya watakayo dhidi ya binadamu na hakuna wa kuhoji.
Sirro sijui bado anafanya nini ofisini muda huu...kazi ilishamshida muda tu.
Kwa sababu ya jiwe?Sisi tupo enzi za ujima !! Africa ni bara la hovyo kabisa.
Karne ya 21 tunafanya mambo ambayo Ulaya waliyafanya karne ya 13...same!!
Sasa mnapumua!Mungu amefanya yake!
Katika wale 100, lazima yupo Tundu Lisu na Freeman Mbowe, na wengine wachache. Sisi wengine wote, ujasiri hakuna kabisa.Huwezi kula ugali toka udogo wako Hadi utu uzima utegemee kuwa na akili nakwambia ni ndoto
Hata viongozi tulionao sisi nao umeme mdogo kichwani, kiongozi unatukanwa ila unaomba msamaha mwenyewe pumbavu sana
Kifupi tz wenye akili timamu kama itafanyika sensa hawawezi fika 100
Kuna mpumbavu mmoja humu nimewahi changia udhaifu wa kada flani akanifata kwA box la siri kunipiga mikwara nikacheka sana.
Ugali upigwe marufuku, umetudumaza akili walahi
Jaribu kuimagine lile tukio la yule Askari wa US aliyemwua George Floyd, jinsi wamerekani walivyoshinikiza lile tukio Marekani nzima kwa maandamano.....Hakuna kiongozi wa kudai stimulate ubongo, MTKILA hayupo. LISU yupo mbali.
kwani ndugu wanasemaje? Si wameridhika mkuu .Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa corona, hapa kwetu nchini, imedaiwa kuwa Askari Polisi amemchoma sindano ya sumu, mfanyibiashara, wa madini Musa Hamisi na kumwuua na maiti yake kuitosa Baharini na wakampora fedha yake shilingi milioni 60!
Ni tukio la kinyama mno na halifikiriki kuwa lingeweza kutekelezwa na watanzania wenzetu.
Wakati huko Uingereza wananchi wa huko wanafanya maandamano makubwa ya kumshinikiza Waziri wao mkuu ajiuzulu mara moja kutokana na kitendo hicho cha wafanyakazi wake wa Ikulu kuandaa karamu wakati wa corona.
Sisi watanzania tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida, wala hatustuki, utadhani kuwa hakuna tukio kubwa lililotokea hapa nchini!
Najiuliza hivi watanzania tumelogwa na nani, ambaye ametufanya tusijielewe na kuchukua hatua mara moja?
kwani ndugu wanasemaje? Si wameridhika mkuu .
Wamarekani waliandamani kwa sababu kuu ni ubaguzi wa matukio ya aina ile. Tabia ya watu kama Trump ndio ilipelekea hata wahusika kutotaka kushughulikia kwa sababu tu black lad ndiye aliyeuwawaJaribu kuimagine lile tukio la yule Askari wa US aliyemwua George Floyd, jinsi wamerekani walivyoshinikiza lile tukio Marekani nzima kwa maandamano.....
Hatimaye yule Askari akafungwa jela.
Hapa TZ yetu tunakuwa na taarifa kuwa kuna Polisi kamchoma sindano ya sumu mfanyibiashara wa madini hadi kumwuua na maiti yake imetupwa Baharini, tunaendelea kukaa kimya!
Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa corona, hapa kwetu nchini, imedaiwa kuwa Askari Polisi amemchoma sindano ya sumu, mfanyibiashara, wa madini Musa Hamisi na kumwuua na maiti yake kuitosa Baharini na wakampora fedha yake shilingi milioni 60!
Ni tukio la kinyama mno na halifikiriki kuwa lingeweza kutekelezwa na watanzania wenzetu.
Wakati huko Uingereza wananchi wa huko wanafanya maandamano makubwa ya kumshinikiza Waziri wao mkuu ajiuzulu mara moja kutokana na kitendo hicho cha wafanyakazi wake wa Ikulu kuandaa karamu wakati wa corona.
Sisi watanzania tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida, wala hatustuki, utadhani kuwa hakuna tukio kubwa lililotokea hapa nchini!
Najiuliza hivi watanzania tumelogwa na nani, ambaye ametufanya tusijielewe na kuchukua hatua mara moja?
Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa corona, hapa kwetu nchini, imedaiwa kuwa Askari Polisi amemchoma sindano ya sumu, mfanyibiashara, wa madini Musa Hamisi na kumwuua na maiti yake kuitosa Baharini na wakampora fedha yake shilingi milioni 60!
Ni tukio la kinyama mno na halifikiriki kuwa lingeweza kutekelezwa na watanzania wenzetu.
Wakati huko Uingereza wananchi wa huko wanafanya maandamano makubwa ya kumshinikiza Waziri wao mkuu ajiuzulu mara moja kutokana na kitendo hicho cha wafanyakazi wake wa Ikulu kuandaa karamu wakati wa corona.
Sisi watanzania tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida, wala hatustuki, utadhani kuwa hakuna tukio kubwa lililotokea hapa nchini!
Najiuliza hivi watanzania tumelogwa na nani, ambaye ametufanya tusijielewe na kuchukua hatua mara moja?
Ni kosa kubwa kuifanya nchi, kuwa ni mali ya Rais🥺Huu ni utamaduni wa nchi yoyote iliyokuwa ya kijamaa, na hata nchi za kidini. Katika nchi hizi, nchi huwa ya raisi na raia in wapangaji au wapita njia. Nchi zote zilizopitia siasa ya ujamaa RAIA wake ni waoga.