Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bima hawataki hasaraKampuni za bima zikawa hazitaki akate bima kwao,maana kuumia uhakik
Huku kwetu tulikaririshwa SNAKE IN THE MONKEY SHADOWSNAKE IN THE EAGLE SHADOW..
Haha haha mkuu mimi nimemaanisha Kupigana kwani wewe umemaanisha nini 😃😃Vibaya sana
Sio kama vijana wetu wanaosubiri mishangazi ili waishi
Hivi sasa anacheza movie zisizotumia ubabe na nguvu sana as vichekesho na ngumi kidogo sana.Amevunjika vunjika zile movie zake alikua anaumia kweli baadhi ya ma-producer wanaogopa kufanya nae kazi kwa sababu hio
Miaka 70 AfrikaWale wahenga wenzangu mtakuwa mnamkumbuka huyu mwamba coz alitupa burudani wakati wa utoto wetu!Huu ndiyo muonekano wake wa sasa akiwa na umri wa miaka 70! Wakati ni ukuta!
View attachment 3116796