WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

mkuu,ulikosa uhondo!itafute picha inaita "Eastern Condors" Iliyafsiliwa na Lufufu Mkandala Uone Mapigo Yanavyo pigwa!
Mkuu ulikuliwa upi utotoni?
Hiyo muvi ninayo FULL HD,hafi huwa nashangaa ilihifadhiwa vipi maana kipindi hicho cha VHS ilikuwa hauwezi kuona picha kwa ubora unaoeleweka
 
mwenye picha ya legendary Morgan Freeman akiwa kijana aweke hapa
 
Ulikuwa unaziangalia wapi hizi "muvi" wakati hamkuwa na umeme ndio sasa rea wanawaleteeni?? Au umekulia ukimbizini (nje ya ilamba)
ahahaha,mkuu nimekulia tandale beo beo,pale lingo la kuni kabla ujakifikia kituo cha daladala cha tandale chama na nimesoma msingi pale makurumla(sasa mwalimu nyerere primary school) opposite na msikiti wa mwembechai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…