FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Dda brenda hujambo?hahaha maskini....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dda brenda hujambo?hahaha maskini....
Sijambo 4GDda brenda hujambo?
Hiyo muvi ninayo FULL HD,hafi huwa nashangaa ilihifadhiwa vipi maana kipindi hicho cha VHS ilikuwa hauwezi kuona picha kwa ubora unaoelewekamkuu,ulikosa uhondo!itafute picha inaita "Eastern Condors" Iliyafsiliwa na Lufufu Mkandala Uone Mapigo Yanavyo pigwa!
Mkuu ulikuliwa upi utotoni?
Hii ilichezwa 1986 na sammo hung na yuen biao au mr chenmkuu,ulikosa uhondo!itafute picha inaita "Eastern Condors" Iliyafsiliwa na Lufufu Mkandala Uone Mapigo Yanavyo pigwa!
Mkuu ulikuliwa upi utotoni?
cynthia rothrockHaya tuambie nani mkali kati yao?
Morgan Freeman.mwenye picha ya legendary Morgan Freeman akiwa kijana aweke hapa
asante mkuu,ahahaha!naomba uniwekee picha ya yule mwenye kigugumizi!Hiyo muvi ninayo FULL HD,hafi huwa nashangaa ilihifadhiwa vipi maana kipindi hicho cha VHS ilikuwa hauwezi kuona picha kwa ubora unaoeleweka![]()
![]()
![]()
Aisee!jamani nilikua nampenda Dolf aiseee ndio kawa hivyooo ila jamaaa alikua handsome ile movie yake ya scorpion au ile yupo na tagawa aaaarggghh mpaka roho inaniuma
Ulikuwa unaziangalia wapi hizi "muvi" wakati hamkuwa na umeme ndio sasa rea wanawaleteeni?? Au umekulia ukimbizini (nje ya ilamba)asante mkuu,ahahaha!naomba uniwekee picha ya yule mwenye kigugumizi!
Hiyo muvi sijuhi walifanyaje kuhifadhi!
nafurah kukuona hapa, ujana wa maji ya moto/moshi......., cha msingi ni kufanya yale yanayowezekana ujanani? tusijejutia uzeeni!!!!Sijambo 4G
Kweli kabisa hilo nalo neno...nafurah kukuona hapa, ujana wa maji ya moto/moshi......., cha msingi ni kufanya yale yanayowezekana ujanani? tusijejutia uzeeni!!!!
ahahaha,mkuu nimekulia tandale beo beo,pale lingo la kuni kabla ujakifikia kituo cha daladala cha tandale chama na nimesoma msingi pale makurumla(sasa mwalimu nyerere primary school) opposite na msikiti wa mwembechai!Ulikuwa unaziangalia wapi hizi "muvi" wakati hamkuwa na umeme ndio sasa rea wanawaleteeni?? Au umekulia ukimbizini (nje ya ilamba)
yeap yeap....nakutakia majukumu mema ya kulijenga taifa, na mwanetu kama yupo...Kweli kabisa hilo nalo neno...
Hahaha mwanetu bado ngoja nifanye mchakato, asante uwe na siku njema pia...yeap yeap....nakutakia majukumu mema ya kulijenga taifa, na mwanetu kama yupo...