Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

Ukiona Taifa kiti cha uraisi mnashindana alafu anaibuka mtu hukuwahi muona popote basi juwa sikubza Taifa hilo mbeleni nisiku ngumu kuliko zile linapita sasa. Kiti cha Rais sio sio issue ya gender Kiti cha Rais nikiti kinahitaji mtu kweli mwenye uwezo na akili namsomi wa vitabu. Angalia Marais wote wanao tikisa dunia na mataifa yanayo tikisa dunia Rais kweli anakuwa Rais anajuwa vitu ndani na nje. Angalia Taifa nalioenda as role mode Israel hawa jamaa wanaisumbuwa dunia lakina hawaweki watu wakawaida pale juu. Muangalie huyu waziri mkuu wa sasa Nathan Benet hiyo brain ni hatari kwenye maswala ya ulinzi wa kimtandao na udukuzi yani hiyo brain kaa mbali nayo...
Angalia mifumo ya idara za hili taifa utakaa chini yani ni majitu yenye akili... Bakini kuwekena mtoto washangazi, mke na mashemeji kwenye mifumo ipo siku maji mtaita mma... Maana tuna leader ambao sio visionaries bali wana waza uchaguzi. Such leader they will kill silence this nation. Nakama watu hawajuwi kuwa hakuna kitu kibaya kama kuliuwa taifa kimfumo wakisiasa yani mtajikuta siku hata vita hamuwez pigana maana huna watu unawajomba mashemeji na wakwe kwenye system mataifa imara Rais hateuwi watu wakumpendezesha anateuwa watu wenye uzalendo hawajuwi kutaja muheshimiwa Rais mtukufu what what wanajuwa muheshimiwa Taifa langu yani wapo kwa ajili ya Taifa naukiwazinguwa wanakushusha. Sisi tuna idara yenyenguvu kuliko zote Rais. Haya. End
nimepambana sana kuelewa ulichoandika sijakupata fresh sana but poa tu mkuu haina kwere ngoja masela walete kijiti na big G OG Chuga boy
 
Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa.

Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na punje ya haradani kuhusu masuala ya kodi ama hana kabisa.

Leo kampuni kubwa ya Mcdonald, imelipishwa zaidi Tsh Trilioni 2.5 za Kitanzania huko Ufaransa baada ya kugundulika imekua ikikwepa kulipa kodi kwa miaka 14 iliyopita. Mcdonald walikua wanachakachua hesabu na kuonyesha faida kidogo ili kukwepa kodi kwa miaka yote hiyo.

Sasa unajiuliza, iwapo Ufaransa wenye mifumo iliyoendelea bado makampuni yanatumia ujanja kukwepa kulipa kodi ila yakigundulika yanapelekwa mahakamani ana yanakubali kulipa bila kupelekwa mahakamani, kwa Tanzania watu wanakwepa kulipa kodi kisha wanaenda kuomba kwa rais wasilipe na rais anasema wasilipe.

Taifa ambalo haliko thabiti kwenye kukusanya kodi na mfumo wa kodi inaingiliwa na wanasiasa haliwezi kwenda popote.

Hii ndio matokeo yake tunayoyaona sasa, Rais wetu kwa kua hataki watu walipe kodi basi mbadala wake ni mikopo tu, kukopa tu. Tumeona kwenye bajeti yeye anawaza kukopa tuu.

Ndugai alisema ipo siku hii nchi itapigwa mnada na huo ndio ukweli.
Macdonald imelipishwa baada ya kuwa ktk mgogoro wa kutokulipa kodi.
Sidhani kama wameenda kukusanya kodi ya miaka ya nyuma kwa mackdonald ila alikuwa anadaiwa tayari ni tofauti na leo unamfuata mfanyabiashara na kumkadiria kodi ya mwaka 2015, ulikuwa wapi hukumfikia wakati huo?
 
Ulaya gani hiyo unayoongelea ?? au ya Magufuli Kuzimu ??

Ulaya kila mwaka unaletewa forms za ku declare na pia pesa ya kulipa au kulipwa kulingana na mapato yako uliyopata na kodi uliyolipa .

Kile ambacho utalipwa hutegemea ume declare muda gani lakini haifiki miezi 3 uatakuwa umelipwa , na kama unahitaji kuwalipa watu wa kodi wanakupa muda mpaka december uwe umelipa vinginevyo deni lako linaanza na riba kuanzia mwezi wa Januari na hapa wanakupa muda kama hujawalipa mahakamani unapelekwa
 
Kodi ya miaka ya nyuma ikidaiwa tunalalamika! Ikisamehewa tunalalamika! Ili mradi lazima tulalamike! Loh
 
Macdonald imelipishwa baada ya kuwa ktk mgogoro wa kutokulipa kodi.
Sidhani kama wameenda kukusanya kodi ya miaka ya nyuma kwa mackdonald ila alikuwa anadaiwa tayari ni tofauti na leo unamfuata mfanyabiashara na kumkadiria kodi ya mwaka 2015, ulikuwa wapi hukumfikia wakati huo?
Soma vizuri article mapato ya licence fees yatokanayo na baadhi ya franchise restaurants zilizopo france wao walikuwa wanayaweka kama mapato wanayopokea Liechtenstein kwenye kodi ndogo.

So kosa lao ni udanganyifu wa kodi through material misstatements toka 2009-2022 ndio kodi wanayolipishwa hiyo kama fidia.
 
Rais hakutakiwa kutoa amri kuwa sheria za kodi zisitekelezwea, angetoa amri kuwa maafisa wa kodi wasifanye kazi kwa kukomoa raia, lazima wasimamie sheria tu.
Hiyo hata Magufuli alihasema lakini ilikua ni kung'ata na kupuliza.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan yuko sahihi kabisa kufuta kodi za miaka zaidi ya miwili iliyopita.

Mimi baba yangu alikua analipa kodi na risiti zilikuwepo kilichotokea mwaka juzi akaletewa deni la mil 90 la miaka 5 ilopita

Tukaenda kupambana nao wakasema wameona imelipwa mil 70 kwa hiyo watadai mil 20
By then tukawa bado hatukubali kwa sababu tulitumia mhasibu anayejua sheria za kodi deni la kubumba likaletwa mpaka mil 9.

Hapo unatarajia kama huna risiti za miaka 5 iliyopita si unaingizwa choo cha kike

Mzee wangu alipata presha iliyoondoa maisha yake.

Hawa jamaa wanabambika, na wana tabia ya kukulazimisha kuwa wewe kwa biashara hii unapaswa kulipa kiasi fulani ambacho wewe mwenyewe ukiangalia tija ya unachokifanya havilingani.
 
Shida ni kwamba mkuu huku kwetu haya yalifanyika kwa ushahidi wenye mashaka sana

Lengo halikuwa kukusanya kodi bali kuwakomoa baadhi ya watu
Kwakua hatupendi kufuata sheria.

Hivyo mtu akiifuata sheria basi yatakuja maneno mengi kama hayo kukomoana udikteta , roho mbaya, katili, dhalimu kumbe ni kwamba watu hawataki sheria ifuatwe kwani hawapati super profit waliyozoea kupata.
 
Mheshimiwa Hangaya anataka kuwa rafiki na wafanyabiashara kwa namna ambayo wao wanataka anasahau kuwa hawa jamaa hawana huruma. Acha watu walambishwe asali.
 
Back
Top Bottom