Wakati umefika jamii ya watanzania kutuomba radhi watu wa Mkoa Mara

Wakati umefika jamii ya watanzania kutuomba radhi watu wa Mkoa Mara

Hypersonic

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
829
Reaction score
1,564
Mkoa wa Mara una historia kubwa sana katika nchi hii. Ni mkoa pekee ambao mewahi kutoa viongozi wa juu wa serikali kwa wakati mmoja. Nikimaanisha CDF, PM na President.

Bahati mbaya sana ulipachikwa sifa mbaya kuwa ni mkoa wa watu wa korofi, wanyanyasaji na ambao kazi zao kuu ni mbili kama si tatu kwa maana jwtz,polisi na ualimu. Nyote tunakubaliana kuwa mkoa wa Mara siyo tena Mkoa unattended kwa kesi za unyanyasaji, mauaji na ubakaji.

Badala yake naona mikoa kama Morogoro,Mbeya,Manyara na Iringa.

Wengi kwa wakati huo walishindwa kutofautisha misimamo binafsi ya watu na ukorofi.

Lakini pia mkoa wa Mara ndo ulikuwa wa kwanza kuchagua mbunge wa upinzani kutokea jimbo la Musoma mjini.
 
Kama kuna mkoa nimeutaja inatokanq na takwimu za hivi karibuni za matukio ya mauaji ya kikatili, unyanyasaji wa kijinsia na ubakaji
 
Kaza babu kazaa, watu wa Mara hawalalamiki....malalamiko yapo daslam
 
Ila Kwa utafiti wangu mdogo. Kanda ya ziwa ndo inawataalmu wengi syo Mara yetu pekee walimu, ma engineer, madokta, na wengne. Wengi n Kanda ambayo iliweka Elimu kama kipaumbele. Chao na Kaskazni pia. Ila Kanda zlizobaki sjaona wengi
 
Back
Top Bottom