Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Hiyo sent using iPhone X
Ni lazima kuwepo hapo?
Maisha haya nyie acheni nakumbuka nimemalixa chuo nasubir post halafu mfukoni sina kitu .....kila unapoenda kutafuta kujisikiza wanataka uchi kwanza!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna dada tulikuwa nao mtaani jioni wanachomoka ....asubuh wanarudi wako vxuri nikawaambia wanisaidie kupata kazi

Wakaniambia kazi ipo vizano hotel ..mmmh kufika kumbe wanafanya kazi ya kujiuza .....halafu kuna mwarabu akawa ameniganda kweli si jui alihic mi mgeni maeneo yale yaani niliondoka kwa miguu hadi nyakato meko

Kesho yake nikatafuta kazi ya kuhudumia kwenye migahawa maeneo ya pale nundu...nikafanya kama miezi miwili nikapata ajira xikatoka ndio nikawa nimevuka du[emoji847]

Sent using i phone x

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha, nikiwa nimepigika kinyama nyama ila nikiwa na bando la jero kipindi Habibu A.Hanga a.k.a "the bold" nilizama kwenye p.m yake na kumuomba anisaidie Kama Kuna sehemu anaweza kuniunganisha, ha ha ha nakumbuka mwishoni kabisa nikasema nina uwezo pia wa kuandika.Jamaa muungwana Sana, nakumbuka aliniuliza Kama naweza kuandika, nikasema yes, jamaa hapo hapo akanipa assignment, akanieleza sehemu ya kupata cha kuandika. Nakumbuka niliandika Bonge la Bulletin hapo hapo jamaa akanikubali na tukaingia Contract bila kuonana kwa makubaliano kila asubuhi niandike Bulletin. Ha ha ha ha, ikawa kila jioni inabidi utafakari chaa kuandika uanze kutafuta and then uandike na hapa nyenzo ilikuwa simu, daa! Nakumbuka niliandika Kama kwa mwezi mmoja na nililipwaga robo ya fedha ya makubaliona, baadae Kuna watu wakawa wanaleta humu jamvini baadhi ya Makala nilizoandika wakati watu wanatakiwa walipie kule whattap jamaa akadai mimi ndo nazileta humu jamvini ndo ikawa mwisho. But by that time nilikuwa nimepigika kweli kweli. "The bold" popote ulipo Mungu akubariki japo hatukuwahi kukutana naamini you are a good man nigga, japo nakudai 150k hadi Sasa ha ha ha ha ha ha, and the last time we made contact nilikuwa nakudai fedha hii ha ha ha ha ha ha ha.
 
Maisha haya nyie acheni nakumbuka nimemalixa chuo nasubir post halafu mfukoni sina kitu .....kila unapoenda kutafuta kujisikiza wanataka uchi kwanza!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna dada tulikuwa nao mtaani jioni wanachomoka ....asubuh wanarudi wako vxuri nikawaambia wanisaidie kupata kazi

Wakaniambia kazi ipo vizano hotel ..mmmh kufika kumbe wanafanya kazi ya kujiuza .....halafu kuna mwarabu akawa ameniganda kweli si jui alihic mi mgeni maeneo yale yaani niliondoka kwa miguu hadi nyakato meko

Kesho yake nikatafuta kazi ya kuhudumia kwenye migahawa maeneo ya pale nundu...nikafanya kama miezi miwili nikapata ajira xikatoka ndio nikawa nimevuka du[emoji847]

Sent using i phone x

Sent from nn eti [emoji3][emoji3]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijaona dada aliefikia stage yakuuza papuchi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nilipigika kupindi fulani baada ya kuuziwa karatasi (transcript) kwa mamilioni ya fedha. Nikajitutumua nikaja DSM tafuta kazi mwishowe nikapata Kawe kule kwenye majumba ya NSSF/national house ya ulinzi-IKANISHINDA kama wiki tu. Nikapata Mwenge Car Wash (wale jamaa walinipokea vizuri mpaka leo nawakumbuka). Saizi nipo mkoani na maisha bado yananilazimu nirudi Dar kwa awamu nyingine.
 
Nilipigika ikabidi nikachukue mashati ya buku buku tandale, nikanyosha vizuri nikaenda kuuza kinondoni hadi baharini bila kuuza hata shati moja, wakati huo sina hata mia na njaa inagonga kishenzi.
Mwisho wa siku nikaenda kwenye mti jirani na aghakan nikaanza kupumzika huku napata upepo wa bahari mida kama ya saa tisa alasiri hivi.
Baadae kidogo akaniamsha dada mmoja ana wali ambao umepakiwa kabisa kwenye vile vifungashio, akanambia alikuwa na oda kwa mafundi sasa mmoja hayupo na chakula kishalipiwa, na akasema aliniona toka nikiwa kwa fundi viatu jirani na AZANIA BANK maeneo yale yale ya agakhan.
Nikajisemea moyoni hapa inabidi nisiigize kama desturi ya sisi waafrika, kitu unataka halafu unasema ahsante nimeshiba! Nikamwambia ahsante sana, kweli nilikuwa na njaa.
Niligonga ule wali ndio akili ikakaa sawa (yaani njaa ikizidi hata akili inakuwa na mawenge)
Safari ya kurudi home ikaanza na nikaja kuuza shati moja kwa 2000 pale salander bridge jioni kabisa.
 
Back
Top Bottom