Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Unafaa kabi Unafaa kabisa kuwa Mke
 
Ukitaka kujifunza kashata na kama Bado unauhitaji njoo nikufundushe bureeeee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@kidukulilo akija kutoa ushuhuda wake mambo yatakuwa hivi:..

"Nimeteseka sana mimi..
Wakati nimemaliza shule pale IST nikaamua kuliko kukaa bure bora nitafute kazi
Nikaongea na mzee wangu anitafutie connection

Mzee akaniambia kuna issue canada nikasema sawa..
Nimeenda nikakuta kazi yenyewe ni kupanga mafile katika ofisi flani kwa masaa matatu kwa siku
Halafu mshahara wenyewe mdogo tu usd 300 kwa siku, nilisikitika sana...

niliteseka mimi, nyie acheni tu..

Ngoja aje humu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata mikosi ilipoanzia sijui nlijikuta nauza kila kitu changu ili kulipa madeni na kufufua baadhi ya miladi iliyokufa lakini wapi!!pesa ikiamua kwenda inakwenda hata uizuie vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe tuko wengi nilidhani ni mimi tuu, usikate tamaa mkuu. Me nimemalizwa kabisaa bora ww sasa unayo hata nafasi ya kukimbizana na wanyam wakali me nimelala tuu muda huu. Lakini usikate tamaa tafta njia mpya, zipo njia utatoka tuu me bado nina imani ndio maana sijajiua mpaka sasa? Mungu ni mmoja tu.
 

Daah hii kali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe, kwani huwezi kuandika herufi sahihi!?
 
Mchawi wa watu wengi ni comfort zone. Ni kazi ngumu kutoka kwenye comfort zone

Sent using Jamii Forums mobile app


Mimi kuna kipindi nakua mpweke sana...yaan nna kila kitu nilichokua nawishi nipate ila sasa upweke unaniandama...kuna kpindi nilipanga nirudi nirelax...aisee huwez amini..hubby alinishangaaaa😂😂..akasema unafurah tena kuja tu ukose hela..acha ubabaifu mane...akaja yy!..ukiiweza hyo situation bas your a different person! Hakikisha unapiga chini kbs wale marafiki wasio na faida kwako(hapa ndp pananitia upweke zaid)..
 


Maskini ...inaumiza sana
 
Hahahahaaa watu wameshaiba hadi sadaka dadekiii
 
Manengelo inaonesha unatatizo moja unasaka sana pesa ila kuwekeza kwenye biashara za maana kwako ni tatizo ndio maana uki relax kidogo na Pesa huna.

Fanya kuwekeza sehemu ambayo unaona Final utaishi huo mkoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manengelo inaonesha unatatizo moja unasaka sana pesa ila kuwekeza kwenye biashara za maana kwako ni tatizo ndio maana uki relax kidogo na Pesa huna.

Fanya kuwekeza sehemu ambayo unaona Final utaishi huo mkoa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Siku zote best kilio changu ni kimoja..sijui nisemeje...means ukiondoka mambo yanayumba!...zinatokea sababu nyinginyingi! Nina changamoto bado mkuu!

Kuna biashara usipokuwepo inaharibika!
Yes finally tumekubaliana tuhamie Rock city ASAP!
 
Mzee wangu hadi leo sidhani kama ananipenda. Nilipokuwa form three nikakosa hela ya kutumia kabisa nikatoroka shule nikaenda kufanya kazi ya ujenzi kwa shemeji yake yaani kwenye nyumba ya kina aunt yangu. Navaa sare za shule naingia mzigoni maana ghetto kali sana afu kubwa na walianza kuweka uzio, hawana njaa hata kidogo. Niko form three na mdogo, nikapiga kazi na mafundi yule fundi mkuu akagundua niko bright akawa ananipa kazi za kusimamia saidia fundi wengine na kwenye masuala ya hesabu. Nikawa nafanya hesabu za 'grout'? na vigae vyake, matumizi ya maji na makorokoro kibao. Nikawa napata hela sema nilichubuka mikono kwa sababu ya materials tulizokuwa tunatumia na safety haikuzingatiwa. Mpaka leo mimi ni mtaalamu wa kurusha tofali kwenda juu yani hata uwe kozi ya 14 nikirusha wala husogezi mkono[emoji23]. Niliacha kazi baada ya kuambiwa mume wa aunt atakuja kukagua , ningeambiwa nadhalilisha familia. Hata home nishawahi kuwa saidia fundi kwa nyumba yetu, hata nilipomaliza six nilifanya kazi kampuni ya ujenzi. In short nikipigika kimbilio langu ni kwenye ujenzi. Sema ni jeuri tu ukoo wetu si wa kunifanya nife njaa.
 
Kama una kamtaji flani

Ingia kwenye real estates mdogo mdogo, uza na kununua viwanja na nyumba au kupangisha

Ndani ya miaka 5 utakuwa unakula pension kama mstaafu,

Yaani wekeza kwenye business ambazo sio lazima uwepo muda wote
Siku zote best kilio changu ni kimoja..sijui nisemeje...means ukiondoka mambo yanayumba!...zinatokea sababu nyinginyingi! Nina changamoto bado mkuu!

Kuna biashara usipokuwepo inaharibika!
Yes finally tumekubaliana tuhamie Rock city ASAP!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…