Man sijui unashangaa nini, labda kama unatoka familia/ukoo bora. Kwa tuliotoka familia ambazo ukifanikiwa kutoka kidogo unakuwa baba wa ukoo kwenye mahitaji yao hatushangai, yaani wewe unakuwa kama mfereji tu pesa inapita kwenda kwa watu. Mwisho wa siku unabaki bila kitu chochote na ukipata tatizo hakuna anayekuthamini tena ukoo mzima!Nimerudia kusoma ×5
YAANI UMESEMA
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Then umeachishwa kazi huna kitu.
Hivi ni sijaelewa au sijasoma vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimerudia kusoma ×5
YAANI UMESEMA
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Then umeachishwa kazi huna kitu.
Hivi ni sijaelewa au sijasoma vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi ya kizembe na kijinga yaani yaani unaona uko sahihi kabisa kuandika list ya matumizi yasiyo na maana.
2.8 ni pesa nyingi sanaaa kwa scale ya maisha ya Tz na umasikini wa familia zetu unless utokee familia ya MO hata uwe unasomesha na ujue hakuna asiye somesha mimi nishasomesha sana...alichofanya jamaa na wewe ni uharibu wa pesa.
Salary kama hiyo 2.8 mimi sio miaka 9 huko miaka 2 tu na Triple ×3
Una toka kwenye salary hiyo unaachishwa kazi tu unagombania kazi ya 90000/= kwa mwezi kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
@mshana katika ubora wake.[emoji216][emoji216][emoji216][emoji216][emoji244]Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwanini umekimbilia kwenye akili, sikutoi akili bana kuwa na amani bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe huyoSikia wewe nikufinze maisha kula ndio kitu muhimu duniani ila inafika wakati kula inakuwa ni anasa.
Badilika jamaa hakuna tumizi la maana hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaaonekana mamaako sio mtu wa kujaliMzee alifariki baada tu ya mwaka mmoja tangu nitoke Dodoma,mama nilikuja kuonana nae 2011,na kipindi chote hicho nilikua sijawahi kuwasiliana nae.
Sijamuona tangu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi wewe ni mwizi na Hilo gari la wizi[emoji1787]Aisee kupigika ni mbaya sana kipindi nimemaliza chuo niliangaika sana hapo Dar miaka ya 2002 bro wangu akanishauri nirudi home kijijini kuna minara ya voda inajengwa aniunganishie kazi ya ulinzi.Aisee sikuwa na namna akanitumia nauli ikawa mchana napiga kazi ya kibarua cha kumwaga zege hapo mnarani usiku naunganisha kulinda vifaa vya mnara nilipiga kazi km miezi minne la ilikuwa kazi ngumu halafu ni kijijini kwetu watu wanashaningaa mwanachuo kupiga kazi za hovyo but namshukuru bro alienipa wazo hilo Kwan nilitengeneza vihela plus wizi wa cement angalau kila siku mfuko mmoja mmoja haikuwa haba.Wale waliokuwa wananicheka wanashangaa baada ya mwaka narudi hapo kijijini na usafiri wa maaana kiasi plus na kuanza ujenzi wa nyumba ya mama yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan huyu ndo kuvunja record humu ndani, hiyo bahati haiji tenaNimeandika nikafuta.
Nimekumbuka ni Intl NGO na safari za nje ‘kibao’ kwa miaka 9, mshahara 2.8M ila kiinua mgongo ni 4M tu... maisha yako tofauti sana.
Kisha baadae karudi kugombea kazi ya mshahara 90k na aliishi fresh tu, maisha yana vionjo vingi sana.... yote inawezekana.
Haaa haaaaa 😁 hujataka kupepesa. Mzee
Hata mimi nimeshangaa sana kama ni bata alikula la kupitiliza, alichezea sana hela akajisahauMan sijui unashangaa nini, labda kama unatoka familia/ukoo bora. Kwa tuliotoka familia ambazo ukifanikiwa kutoka kidogo unakuwa baba wa ukoo kwenye mahitaji yao hatushangai, yaani wewe unakuwa kama mfereji tu pesa inapita kwenda kwa watu. Mwisho wa siku unabaki bila kitu chochote na ukipata tatizo hakuna anayekuthamini tena ukoo mzima!
Sent using Jamii Forums mobile app
Man sijui unashangaa nini, labda kama unatoka familia/ukoo bora. Kwa tuliotoka familia ambazo ukifanikiwa kutoka kidogo unakuwa baba wa ukoo kwenye mahitaji yao hatushangai, yaani wewe unakuwa kama mfereji tu pesa inapita kwenda kwa watu. Mwisho wa siku unabaki bila kitu chochote na ukipata tatizo hakuna anayekuthamini tena ukoo mzima!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uzi nimeukumbuka mkuu embu nitag kule tafadhali, ule nao unachekesha na unahuzunisha sana, hata mimi nna kisa changu sema kule sikukiwekaUnamtetea lakini ukweli ni kwamba hakujipanga,
Inaonesha alikula bata sana japo na ndugu walimshika miguu
Inaonesha aliona hizo hela zipo tu siku zote, kumbe kuna muda huwa zinakata (hili kosa watu wengi wanalifanya)
Kuna Uzi wa watu kufilisika, ukisoma utagundua watu wanavyochezea maisha
Ukitaka ku justify hata matumizi ya milioni 20 hazitatosha kwa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu unitag na mimi tukapige hiyo kazi kwenye porn industry mkuu.Nipe connection hiyo nkapige kazi babake, sichagui kazi mimi
Mzee Baba utaweza hiyo? Una manguvu mzee au basi tu.Akikujibu unitag na mimi tukapige hiyo kazi kwenye porn industry mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu. Hiyo kazi kwa kweli ni ngumu sana, inahitaji moyo kuifanya.Hakuna kazi niliyokuwa naichukia na siipendi mpaka kesho japo wanaoifanya nawapenda na nawaheshimu saana! Sitaitaja kiuwazi ila kimaudhui wenye ufahamu wataelewa! Nilikuwa graduate fani tofauti na hiyo lakini nikajikuta natembea na bahasha kuomba toka ofisi moja hadi nyingine mwisho wa siku nikapata kuwapa maharifa form1. I seee! Nilivyokuwa nimepigika na nimekonda nilishukuru saana kupata japo hiyokazi na ulikuwa ndo mlango wa kupambana nikapata kamtaji nikaacha hiyo kazi na kuanza biashara iliyoniwezesha kutoboa kiasi fulani namshukuru Mungu!
Matumizi ya mshahara wa 2.8
Kodi ya nyumba 300,000,
Servive ya gari 100,000,
mafuta ya gari 150,000,
mizinga ya wana ukoo 30,000
Matumizi ya jikoni 400,000,
Breakfast na lunch kazini 200,000,
Luku na Maji 80,000,
Ada ya mtoto shule za awali within miaka 9 utakuwa na watoto 3 (300,000)
house girl 50,000,
nguo viatu kiwi,kunyoa ndevu 50,000,
vitu vya kuchezea watoto 20,000
kuwatumia wazazi 100,000,
vocha kila mwezi 20,000,
harambee za kanisani 50,000
Pesa ya wife matumizi yake 200,000
majukumu ya kijamii (harusi) 50,000
matibabu 60,000
ukiwa na kamchepuko kila mwezi ukikagonga mara mbili geti tu uwe na 80,000, hakajala, etc
we jamaa umenichekesha sana yaan ndo mana hatuendelei yaani me mchepuko kwa mwezi anakula zaidi ya laki 2 yanguhii hela kama huna ndio unaiona kubwa ila kwa sisi watu wa extended family hiyo hela ni kidogo sana
Akikujibu unitag na mimi tukapige hiyo kazi kwenye porn industry mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu Buza anaamka saa 9 alfajiri, ikifika saa 5 asubuhi yupo kijiwe cha kahawa wanabishana kuhusu kama Yesu ni Mungu au la. Watu hawajui kazi anayofanya ila kuna siku moja nilibahatika kukutana naye mitaa ya Kigamboni anatembeza mboga nyumba kwa nyumba.1- Kuna jamaa nilikua nae kitaa ila yeye anatoka asubuhi (alfajir) kwenye saa 9 alafu anarudi saa 4 asubuhi anatutambia mtaani nikasema huyu jamaa anapiga kazi nzuri sana yaani masaa ma 4 karudi kitaa na mpunga fresh, basi kwa kuwa nilikuwa nimepigika na life nikamwambia jamaa anipe connection jamaa akaniambia kesho asubuhi na mapema njoo Kariakoo mitaa ya Sokoni kuna mtu nitakukutanisha nae.
Basi kesho yake lukwili nikaenda K/koo nikakutana na jamaa kumbe kazi yake ilikua ni kusambaza maziwa kwenye madumu ya Lita 20 unapakia mawili kwenye Baiskeli unawasambazia mama ntilie na vimigahawa vidogodogo vya mulemule K/koo.
Ilikua ni hardwork kwangu mimi maana nilikua si mzoefu kuendesha Baiskeli alafu ukizingatia maeneo ya K/koo jinsi kulivyo kuwa busy na watu asubuh.
Nikamwambia jamaa ngoja nikafikirie basi sikurudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app