Wakati unafunga mwaka, elewa, kabla ua ya kumtelekeza au ulimtelekeza mtoto soma hii ujue na kuelewa tafadhali

Wakati unafunga mwaka, elewa, kabla ua ya kumtelekeza au ulimtelekeza mtoto soma hii ujue na kuelewa tafadhali

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Bill Clinton au William Blythe aliyekuwa rais wa Marekani, Jeff Bizos tajiri mkubwa duniani, Steven Jobs mwanzilishi wa Microsoft, na wengine wengi SOMA HAPA walitelekezwa na baba zao wakatokea kuwa maarufu na wenye mafanikio.
Je katika mazingira haya, hawa wababa watelekezaji wana haki yoyote ya kuwaona watoto wao waliofanikiwa kuwa wabaya wakiwalipa kama walivyowatenza?
Kwa upande wa pili, wapo waliochukuliwa na wazazi wao wakaishia kuwa wa hovyo na kutaka hata kuvuruga familia zao. Kisa kimoja ni baba aliyemlea mwanae aliyemzaa nje ya ndoa na kumpeleka chuo akaishia kuwa teja. Baba, kuona hivyo, aliamua kumkana kabisa. Je hapa nani amlaumu nani? Uzazi ni kazi. Watoto ni malaika hasa wanapokuwa wachanga. Hivyo, si busara kuwatengeneza halafu unawatelekeza. HERI YA MWAKA MPYA.
 
Mwanaume aliyekamilika awez telekezi mtt hata km ugomvi uwe vipi na mama mtt ,bado atawajibika Kwa ajili ya wtt wakeee...
FB_IMG_1731340547698.jpg
 
Back
Top Bottom