Wakati Urusi ikizalisha drone 4,000 kwa siku, kwanini Tanzania tusitengeneze drone moja moja kwa kila mwaka?

Ni
Kweli kabisa mkuu, wengu naona wame base kqenye vyakula na vinywaji ila technology hapana, ila mbona naona kwenye technology kama gile kuna mziki mnene mpaka ikufanikishe kuwa richest?
 
Tatizo hii nchi miongozo mingi. Mtu unaweza kuwa mbunifu kazini lakini utasikia Hilo lipo kwenye muongozo?
 
Tatizo hii nchi miongozo mingi. Mtu unaweza kuwa mbunifu kazini lakini utasikia Hilo lipo kwenye muongozo?
Hilo ndio tatizo
Ila kama una idea zako na ukazifanyia kazi mwenyewe nani atakusumbua
Kwa mfano ukatengeneza kitu kwa wingi
 
Ni

Kweli kabisa mkuu, wengu naona wame base kqenye vyakula na vinywaji ila technology hapana, ila mbona naona kwenye technology kama gile kuna mziki mnene mpaka ikufanikishe kuwa richest?
Mkuu kwa matajiri sio kitu kwa mfano kama kufungua kiwanda cha simu kwa mgongo wa kampuni kubwa
Kuna vitu vingi sana tunaagiza kutoka nje na kuhangaika na ulipaji kwa dollars
Ila hatuna cha kupeleka nje na hii ndio inatufanya tuwe nyuma
Tunajisifia madini lakini maduka makubwa kwenye miji mikubwa duniani ya dhahabu imeshikiliwa na wahindi na almasi Wayahudi

Sisi hata duka moja NY au London hatuna
Kina Kaizer walikuwa wanatangazwa ila tuliishia kumuona anafungua shule

Hizo ndio akili zetu umepewa B sijui ngapi unakimbia unafungua shule kweli tena ya kukariri

Hapo angeweza kufanya makubwa ila ndio hivyo tena
 
Defence bajet yetu ndogo,
M naona bora tuwekeze kwenye elimu, afya, ustawi wa jamii kuliko kuanza kushindana kutengeneza masilaha kama NK na Iran
Lakini drone so kwaajili ya vita pekee
 
Shida ni kama Taifa halijui lina Taka Nini tupo tupo tu nchi watu wanaongezeka tuna mipango mingi ila ipo kwenye mikaratasi tu hatuna wazalendo na wengi wameridhika na maisha
 
Zipo kibao tuu zinaundwa hapa kwetu na nyingi zinatumika ku spray dawa na kupiga picha.

Hizo za vita ni za kazi gani?
 
Hapo sawa mkuu, kumbe inawezekana? Duuh sisi ndio tumelala, au tunaogopa kupigwa ban na mataifa yanayotuuzia bidhaa zao kwasababu tutawaharibia masoko?
 
Shida ni kama Taifa halijui lina Taka Nini tupo tupo tu nchi watu wanaongezeka tuna mipango mingi ila ipo kwenye mikaratasi tu hatuna wazalendo na wengi wameridhika na maisha
Viongozi hawaelewi labda lakini malengo ya nchi yyte ni kuweza kujitosheleza kwenye nyanja zote
 
Hilo ndio tatizo
Ila kama una idea zako na ukazifanyia kazi mwenyewe nani atakusumbua
Kwa mfano ukatengeneza kitu kwa wingi
Wabunifu dunian kote wanategemea support ya kiuchumi lakini pia sera nzuri kusikuwepo na sheria pingamizi au zuizi
 
Hapo sawa mkuu, kumbe inawezekana? Duuh sisi ndio tumelala, au tunaogopa kupigwa ban na mataifa yanayotuuzia bidhaa zao kwasababu tutawaharibia masoko?
Ni woga wetu na serikali isiyotaka kufungua milango
Kila ukitaka kufanya kitu utaambiwa upite ofisi zaidi ya 10 na zote utazungushwa mpaka ukome na kuachana nayo

Bashe alisema lazima ofisi zote ziwe under one roof sijui kama iliqezekana enzi za Magu

Sisi ukiritimba ndio unatufanya tuwe nyuma
 
Nadhani ifike hatua kulipo na job description ya viongozi!
Serious nimekutana na balozi ,mwenyekiti hata na diwani wako empty kabisa na ufikiri wao hauendani na mahitaji ya nchi inayoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…