Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu, wengu naona wame base kqenye vyakula na vinywaji ila technology hapana, ila mbona naona kwenye technology kama gile kuna mziki mnene mpaka ikufanikishe kuwa richest?Kwanza hatuna wabunifu na lingine ni kama watu wameridhika na maisha waliyonayo hata matajiri wakubwa ndio hao wanaotengeneza juice na kuingia top 10
Angalia Top 10 ya US sasa ni mwendo wa technology tu
Tunafurahi soda tu
Serikali badala ya kuwekeza kwa vijana wakajifunze nje wanawachora tu
Uwezo wa kuziomba Serikali zingine kuwapokea watoto wetu zipo nyingi sana Kama Rais anataka
Na Mabalozi sijui kazi huwa zipi
Tatizo hii nchi miongozo mingi. Mtu unaweza kuwa mbunifu kazini lakini utasikia Hilo lipo kwenye muongozo?Kwanza hatuna wabunifu na lingine ni kama watu wameridhika na maisha waliyonayo hata matajiri wakubwa ndio hao wanaotengeneza juice na kuingia top 10
Angalia Top 10 ya US sasa ni mwendo wa technology tu
Tunafurahi soda tu
Serikali badala ya kuwekeza kwa vijana wakajifunze nje wanawachora tu
Uwezo wa kuziomba Serikali zingine kuwapokea watoto wetu zipo nyingi sana Kama Rais anataka
Na Mabalozi sijui kazi huwa zipi
Hilo ndio tatizoTatizo hii nchi miongozo mingi. Mtu unaweza kuwa mbunifu kazini lakini utasikia Hilo lipo kwenye muongozo?
Mkuu kwa matajiri sio kitu kwa mfano kama kufungua kiwanda cha simu kwa mgongo wa kampuni kubwaNi
Kweli kabisa mkuu, wengu naona wame base kqenye vyakula na vinywaji ila technology hapana, ila mbona naona kwenye technology kama gile kuna mziki mnene mpaka ikufanikishe kuwa richest?
Lakini drone so kwaajili ya vita pekeeDefence bajet yetu ndogo,
M naona bora tuwekeze kwenye elimu, afya, ustawi wa jamii kuliko kuanza kushindana kutengeneza masilaha kama NK na Iran
Ndo hayo tunayowaambia wanakariri tu.Lakini drone so kwaajili ya vita pekee
Russia imedai inatengeneza drone 4000 kwa siku. Hii ni kutokana na silaha nyingi kutumika kwene vita ya Ukraine.
Ushauri kwa serikali.
Hii nchi mbaka sasa sijui inatengeneza nini. Pamoja na kuongezeka kwa changamoto za kiusalama bado kama nchi haijaweza au haina uelekeo wa kuboresha uzalishaji wa silaha hivo uhakika wa taifa hili miaka 50 ijao kua hamna.
Changamoto kama ugaidi mipakani, msumbiji, al shababu wakitokea kenya na somalia, ADF kutoka CONGO, M23 kutoka rwanda na bila kusahau ugaidi wa ndani kama Kibiti, mapango ya Amboni na ule ulitokea Mwanza.
Kupakana na nchi maaduni ambazo zinatumika na wamagharibi kuvamia nchi kupora malighafi kama Uganda na rwanda na sasa hivi Kenya imeongezeka.
Kwanini nchi isianze kuzalisha hata drone moja kwa mwaka.miaka kadhaa hatuwezi kua kama tulivyo.
Niwakumbushe tu:
- Drone za iran na uturuki zilibadili vita ya Tigray dhidi ya ethiopia. Ethiopia ilikua ishazidiwa.
- Drone zilibadili vita Azebajan na Amernia.
- Drone hizo hizo ziliwazidia russia na kuwazuia kufika kivu.
- Drone Drone drone
Drone: Ndege sizizo na rubani
View: https://x.com/sambendett/status/1818302307903398220
Russia angeamua kumaliza vita angeshamaliza maana maeneo aliyotaka yapewe uhuru yote ameshayateka hila sasa hv km anawakomoapamoja na drones zote hizo, hawajamshinda ukrain hadi kesho, bado vita inaendelea.
Hapo sawa mkuu, kumbe inawezekana? Duuh sisi ndio tumelala, au tunaogopa kupigwa ban na mataifa yanayotuuzia bidhaa zao kwasababu tutawaharibia masoko?Mkuu kwa matajiri sio kitu kwa mfano kama kufungua kiwanda cha simu kwa mgongo wa kampuni kubwa
Kuna vitu vingi sana tunaagiza kutoka nje na kuhangaika na ulipaji kwa dollars
Ila hatuna cha kupeleka nje na hii ndio inatufanya tuwe nyuma
Tunajisifia madini lakini maduka makubwa kwenye miji mikubwa duniani ya dhahabu imeshikiliwa na wahindi na almasi Wayahudi
Sisi hata duka moja NY au London hatuna
Kina Kaizer walikuwa wanatangazwa ila tuliishia kumuona anafungua shule
Hizo ndio akili zetu umepewa B sijui ngapi unakimbia unafungua shule kweli tena ya kukariri
Hapo angeweza kufanya makubwa ila ndio hivyo tena
mkuu unau hakika!! nitajie kampuni moja inayounda drone hapa tanzaniaZipo kibao tuu zinaundwa hapa kwetu na nyingi zinatumika ku spray dawa na kupiga picha.
Hizo za vita ni za kazi gani?
Viongozi hawaelewi labda lakini malengo ya nchi yyte ni kuweza kujitosheleza kwenye nyanja zoteShida ni kama Taifa halijui lina Taka Nini tupo tupo tu nchi watu wanaongezeka tuna mipango mingi ila ipo kwenye mikaratasi tu hatuna wazalendo na wengi wameridhika na maisha
Wabunifu dunian kote wanategemea support ya kiuchumi lakini pia sera nzuri kusikuwepo na sheria pingamizi au zuiziHilo ndio tatizo
Ila kama una idea zako na ukazifanyia kazi mwenyewe nani atakusumbua
Kwa mfano ukatengeneza kitu kwa wingi
Ni kweli kabisa mkuu, ndio maana wenye uchumi mzuri na opportunities ni nyingiWabunifu dunian kote wanategemea support ya kiuchumi lakini pia sera nzuri kusikuwepo na sheria pingamizi au zuizi
Ni woga wetu na serikali isiyotaka kufungua milangoHapo sawa mkuu, kumbe inawezekana? Duuh sisi ndio tumelala, au tunaogopa kupigwa ban na mataifa yanayotuuzia bidhaa zao kwasababu tutawaharibia masoko?
Mbona Nape alifaulu kutengeneza roboti Eunice mkuu?Tupo mbali ujue?🤣🤣🤣Kipindupindu, malaria, kuhara etc tumeshindwa ndo uzungumzie drone?
Kile kituko au alinunua mdoli wakauunganishaMbona Nape alifaulu kutengeneza roboti Eunice mkuu?Tupo mbali ujue?🤣🤣🤣