Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
 
to summise kuna pointi za kushika hata hivyo

meneno ni mengi na hakuna lelote lile zaidi ya madharau.

What is the whole point? Kushauri? Kuzodoa? Kusengenya?

Majangili ya Mitandaoni yamepata ya kusema 🤏🤏🤏🐦🧠
 
huo si ndio ukimwi wenyewe babu?
Upungufu wa kinga sio kula madonge ambayo hujui yametoka wapi,
We ongeza kinga ya mwili wako naturally hayo magonjwa nyemelezi yataondoka yenyewe
Shida wabongo hawajui ABC za kuongeza kinga hofu yao inawakimbiza kwa ARV

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
hujawahi kuhudhuria semina za masuala ya ukimwi kisha ukaondoka na posho bahashani na yale makabrasha yaliyoandikwa msaada toka kwa watu wa marekani?
Sasa wabadilishe mafunzo yalipiwe, yeyote atakaye mafunzo na alipe yeye binafsi, au alipiwe na mwajiri wake.
Hii habari inajulikana ni kama biblia sio ngeni, ukitaka kujifunza zipo njia za kutosha, internet au vipeperushi, hizo pesa za USAID zifanye kazi za maana.
 
Na maambukizi yataongezeka pia sababu mwenye Vvu asipotumia dawa uwezekano wa kuambukiza unaongezeka.
 
Watunge sera zipi wakati wapo na kusujudia mama mama kazi iendelee yaani mambo muhimu yamepigwa nje
 
 
Nilikuambia hakuna chochote kitakacho tokea haupo ground unaleta pye pye pye nyingiii
 
Hakuna lolote litakalo tokea haupo ground unaleta pye pye pye nyingi umeona tangazo la wizara?
 
Ndio basiiii, ndio basi tena.... Kwa sauti ya Mbosso!

Your browser is not able to display this video.
 
Trump na amalizwe mapema tuu
 

Kuna wakati watu wanafanya mambo kama hawaonekani.

Ila wanaonekana na wanayofanya yanajulikana.

Wizi mtupu kwenye hizi fedha za wafadhili wa maendeleo
 
Safi kabisa, nakubaliana na maoni na mapendekezo.Suala si kwamba eti serikali itashughulikia, suala ni lini itaanza na itaanza vipi?
 
to summise kuna pointi za kushika hata hivyo

meneno ni mengi na hakuna lelote lile zaidi ya madharau.

What is the whole point? Kushauri? Kuzodoa? Kusengenya?

Majangili ya Mitandaoni yamepata ya kusema 🤏🤏🤏🐦🧠
Wewe wasema, Ebu rudia kusoma andiko

Paragraph ya kwanza imeelezea kitu kilichotokea mpaka tuwe na hofu ya dawa za HIV/AIDS toka USAID kupotea hivyo kuleta hofu ya wagonjwa kukosa dawa, paragraph ya pili imesummarize madhara ya kuacha kutumia dawa upande wa seroconvergence, paragraph ya nne na tano imeeleza hatari ya kuwa na seroconvergence patients kwenye population ambayo tabia zetu are not risk conseous, paragraph ya sita imepangilia ushauri kwa watunga sera katika hatua tatu muhimu hasa nini kifanyike, paragraph ya mwisho imeefafanua baadhi ya ushauri tajwa hapo juu

Sasa sema ni wapi kuna kusodoa na kusengenya. Unajua watanzania wengi ukisema ukweli kwa lugha plain watakwambia umezodoa, umesengenya,umedharau. Ukimwambia mkubwa ukweli wa wazi kwamba kakosea,utasikia eti umemdharau.Ifike mahali tukubali ukweli hata kama ni mchungu
 
Ndio basiiii, ndio basi tena.... Kwa sauti ya Mbosso!

View attachment 3228842
Bora umetuonyesha, humu kuna watu wabishi kama nini.Sasa wote mmekwishaonyeshwa kinachotokea. Hivi tutaendelea kuwa mazuzu mpaka lini. Proactiveness is an inborn trait the same as lazzyness. Sisi kwetu uvivu wa kufikili na kutenda ni inborn trait,kibaya tumejaliwa na ubishi,basi combination hizo mbili zinatisha hatari
 
Ndiyo maana nakwambia hutu tutoto hatukuwahi kushuhudia mtu mzima mwenye mwili na nguvu zake anapukutika anabaki mifupa na ngozi!!!
 
Mungu Wabariki Wazungu
Unakuta mtu na kanzu yake kuukuu na baragashia iliyochanika anakwambia Wamarekani ni Makafir huku kila siku akimeza ARV zinazotelewa na hao Makafir.. kwa namna moja au nyingine uhai wake unategemea ufadhili wa Makafir..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…