Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabaya na bashite walikua kondomu za mamlaka teuziVijana wenyewe wanaopewa madaraka ndiyo wanabehave kama Sabaya, Bashite, Hapi, Katambi n.k.!!! Ni bora ya madingi aisee, wana madhaifu yao lakini wametulia sana katika uongozi
I second youKwenye kila utawala kuna Viongozi ambao wanawakilisha utawala huo zaidi ya wengine. Na utawala wa Magufuli huyu Prof. Kabudi aliuwakilisha zaidi ya wengine..
- Ubabe..
- Vitisho...
- Amri..
- Na Sura za kuogofya kwa watawaliwa na wananchi...huyu Kabudi alikuwa anawakilisha vyema kabisa.
Alipokuja Samia na kuanza kupotea na wananchi tukaanza tena kulala vizuri bila kuwa na wasiwasi wa sheria ipi inaweza tumika..'kutukomesha'. Ghafla kaibuka na sheria ya kutunza pesa. Na sasa hatujui kesho ataibuka na sheria gani ingine iliyopitwa na wakati ya kuwatishia wananchi...
Pesa ni pesa...pesa sio Qur'an tukufu wala sio Bible takatifu...ni human creations. Other humans wakijisikia kuikejeli iwe kweli au maigizo let them be....
Kwa kubudi kuibuka na vitisho hivi inaonesha bado wazi anaishi in the sixties..ambako na kauli za "mabeberu".
Na siasa za ujamaa na kujitegemea zilizofanana kidogo na siasa za Communism za China ya Mao na USSR ya kina Stalin.
Watu aina walishapitwa na wakati ...wanapaswa kuwekwa museums of history haraka sana....Samia afanye haraka ampumzishe huyu na sheria ya 'kuabudu' pesa kama dini ibadilishwe haraka. kuna watu wengi wanaishi kwa kutegemea pesa za kutunzwa na huwezi zuia watu kuwarushia na kudondoka chini hasa kwenye entertainment industry.
Sheria hizi za ki komunisti zifutwe na hawa wazee kama Kabudi wafutwe haraka ...walishapitwa na wakati kabla hata hawajateuliwa...
kila mtu yupo huru kutoa maoni!
Hujui chochote kaa kimya nyie ndo vi.laza mnaotuharibia lugha! Kutunzwa ni kuhifadhi au kuweka kitu mahali! Kutuzwa ni kupewa tuzo! Elimu zenu za shule za kata zimekuwa bomu kwa Nchi hii!... kimwambao hiyo ya kwanza ni sahihi; kinyika hiyo ya pili pia ni sahihi! Inategemea umeongea kwa dialect ipi. Mfano mwingine hiki <==> hicho (kinyika) Vs hiki <==> hiko (kimwambao).
Naunga mkono hoja...huyu mzee alitakiwa apumzishwe sambamba na Polepole na Bashiru kipindi kile.Sheria hizi za ki komunisti zifutwe na hawa wazee kama Kabudi wafutwe haraka ...walishapitwa na wakati kabla hata hawajateuliwa...
...Acha kuongopa.Kabudi alimwita Magufuli " Mheshimiwa Mungu"
I second you my Becky...😘😘😘Maybe he is right but aisee tuna vitu more important kama nchi sio kuhangaika na petty issues,,,,what a shame
Well said 👏👌Kwenye kila utawala kuna Viongozi ambao wanawakilisha utawala huo zaidi ya wengine. Na utawala wa Magufuli huyu Prof. Kabudi aliuwakilisha zaidi ya wengine..
- Ubabe..
- Vitisho...
- Amri..
- Na Sura za kuogofya kwa watawaliwa na wananchi...huyu Kabudi alikuwa anawakilisha vyema kabisa.
Alipokuja Samia na kuanza kupotea na wananchi tukaanza tena kulala vizuri bila kuwa na wasiwasi wa sheria ipi inaweza tumika..'kutukomesha'. Ghafla kaibuka na sheria ya kutunza pesa. Na sasa hatujui kesho ataibuka na sheria gani ingine iliyopitwa na wakati ya kuwatishia wananchi...
Pesa ni pesa...pesa sio Qur'an tukufu wala sio Bible takatifu...ni human creations. Other humans wakijisikia kuikejeli iwe kweli au maigizo let them be....
Kwa kubudi kuibuka na vitisho hivi inaonesha bado wazi anaishi in the sixties..ambako na kauli za "mabeberu".
Na siasa za ujamaa na kujitegemea zilizofanana kidogo na siasa za Communism za China ya Mao na USSR ya kina Stalin.
Watu aina walishapitwa na wakati ...wanapaswa kuwekwa museums of history haraka sana....Samia afanye haraka ampumzishe huyu na sheria ya 'kuabudu' pesa kama dini ibadilishwe haraka. kuna watu wengi wanaishi kwa kutegemea pesa za kutunzwa na huwezi zuia watu kuwarushia na kudondoka chini hasa kwenye entertainment industry.
Sheria hizi za ki komunisti zifutwe na hawa wazee kama Kabudi wafutwe haraka ...walishapitwa na wakati kabla hata hawajateuliwa...
Mkuu hawa kina Kabudi, Bashiru usiwahukumu sana...kumbuka wao walikuwa vitendea kazi vya utawala uliopita na ilibidi wacheze kulingana na mdundo wa ngoma.Sidhani kama mental health status ya Kabudi imekaa sawa sawa kuanzia alivoachana na masuala ya Katiba Mpya.
Gongo ya Madagascar ikaja KUMALIZIA kabisa!
Jamaa ni kama H Polepole, Mwigulu, Makonda, Bashiru na wengineo... Ni vile tu Watanzania ni wapole kupitiliza!
NB: Kiswahili fasaha ni KUTUZA fedha kutoka kwenye neno TUZO (Zawadi)
Kwenye kila utawala kuna Viongozi ambao wanawakilisha utawala huo zaidi ya wengine. Na utawala wa Magufuli huyu Prof. Kabudi aliuwakilisha zaidi ya wengine..
- Ubabe..
- Vitisho...
- Amri..
- Na Sura za kuogofya kwa watawaliwa na wananchi...huyu Kabudi alikuwa anawakilisha vyema kabisa.
Alipokuja Samia na kuanza kupotea na wananchi tukaanza tena kulala vizuri bila kuwa na wasiwasi wa sheria ipi inaweza tumika..'kutukomesha'. Ghafla kaibuka na sheria ya kutunza pesa. Na sasa hatujui kesho ataibuka na sheria gani ingine iliyopitwa na wakati ya kuwatishia wananchi...
Pesa ni pesa...pesa sio Qur'an tukufu wala sio Bible takatifu...ni human creations. Other humans wakijisikia kuikejeli iwe kweli au maigizo let them be....
Kwa kubudi kuibuka na vitisho hivi inaonesha bado wazi anaishi in the sixties..ambako na kauli za "mabeberu".
Na siasa za ujamaa na kujitegemea zilizofanana kidogo na siasa za Communism za China ya Mao na USSR ya kina Stalin.
Watu aina walishapitwa na wakati ...wanapaswa kuwekwa museums of history haraka sana....Samia afanye haraka ampumzishe huyu na sheria ya 'kuabudu' pesa kama dini ibadilishwe haraka. kuna watu wengi wanaishi kwa kutegemea pesa za kutunzwa na huwezi zuia watu kuwarushia na kudondoka chini hasa kwenye entertainment industry.
Sheria hizi za ki komunisti zifutwe na hawa wazee kama Kabudi wafutwe haraka ...walishapitwa na wakati kabla hata hawajateuliwa...
Issue gani ya maana ? au ya Mbowe ni gaidi yupo Segerea?Badala wahangaike na vitu vya maana...
Hapo tunepotezwa kuhusu issue ya wamachinga...
Rudi shule juha wewe! Mimi na wewe nani kilaza; hujui wajifanya wajua mjinga wewe. Tunza = tunuku; toa tuzo. Tunza pia lina maana hiyo uliyoisema. Aliyekuambia maneno yana maana moja tu kama ulivyokariri ni nani? Kiswahili umejifunzia shule unashindana na waliozaliwa wakisemeshwa Kiswahili wapi na wapi.Hujui chochote kaa kimya nyie ndo vi.laza mnaotuharibia lugha! Kutunzwa ni kuhifadhi au kuweka kitu mahali! Kutuzwa ni kupewa tuzo! Elimu zenu za shule za kata zimekuwa bomu kwa Nchi hii!
Nyie ndo wale wa " bizaa", mirasi, laisi, nizamu nk