Wakati wa Kabudi kupumzishwa ulishafika, Rasi Samia amsaidie tu

Vijana wenyewe wanaopewa madaraka ndiyo wanabehave kama Sabaya, Bashite, Hapi, Katambi n.k.!!! Ni bora ya madingi aisee, wana madhaifu yao lakini wametulia sana katika uongozi
Sabaya na bashite walikua kondomu za mamlaka teuzi
 
I second you
 
Sidhani kama mental health status ya Kabudi imekaa sawa sawa kuanzia alivoachana na masuala ya Katiba Mpya.
Gongo ya Madagascar ikaja KUMALIZIA kabisa!
Jamaa ni kama H Polepole, Mwigulu, Makonda, Bashiru na wengineo... Ni vile tu Watanzania ni wapole kupitiliza!

NB: Kiswahili fasaha ni KUTUZA fedha kutoka kwenye neno TUZO (Zawadi)
 
... kimwambao hiyo ya kwanza ni sahihi; kinyika hiyo ya pili pia ni sahihi! Inategemea umeongea kwa dialect ipi. Mfano mwingine hiki <==> hicho (kinyika) Vs hiki <==> hiko (kimwambao).
Hujui chochote kaa kimya nyie ndo vi.laza mnaotuharibia lugha! Kutunzwa ni kuhifadhi au kuweka kitu mahali! Kutuzwa ni kupewa tuzo! Elimu zenu za shule za kata zimekuwa bomu kwa Nchi hii!
Nyie ndo wale wa " bizaa", mirasi, laisi, nizamu nk
 
Sheria hizi za ki komunisti zifutwe na hawa wazee kama Kabudi wafutwe haraka ...walishapitwa na wakati kabla hata hawajateuliwa...
Naunga mkono hoja...huyu mzee alitakiwa apumzishwe sambamba na Polepole na Bashiru kipindi kile.
 
Well said πŸ‘πŸ‘Œ
 
mzee wa "miaka selasini kenda".....mzee wa "kubagaza" sheria za nchi ili wananchi tuishi kwa hofu kama enzi za jiwe.

apumzishwe tu kwakeli.
 
Mkuu hawa kina Kabudi, Bashiru usiwahukumu sana...kumbuka wao walikuwa vitendea kazi vya utawala uliopita na ilibidi wacheze kulingana na mdundo wa ngoma.
 

 
Badala wahangaike na vitu vya maana...

Hapo tunepotezwa kuhusu issue ya wamachinga...
 
Hujui chochote kaa kimya nyie ndo vi.laza mnaotuharibia lugha! Kutunzwa ni kuhifadhi au kuweka kitu mahali! Kutuzwa ni kupewa tuzo! Elimu zenu za shule za kata zimekuwa bomu kwa Nchi hii!
Nyie ndo wale wa " bizaa", mirasi, laisi, nizamu nk
Rudi shule juha wewe! Mimi na wewe nani kilaza; hujui wajifanya wajua mjinga wewe. Tunza = tunuku; toa tuzo. Tunza pia lina maana hiyo uliyoisema. Aliyekuambia maneno yana maana moja tu kama ulivyokariri ni nani? Kiswahili umejifunzia shule unashindana na waliozaliwa wakisemeshwa Kiswahili wapi na wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…