Wakati wa kufurahi tufurahi pamoja; Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent

Ufreemason tuu
 
Safi sana kwaoπŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ». It is amazing. Sijawahi pinga ubora wa hawa watoto toka nimeanza kuona ushiriki wao kwenye hizi vitu.
Hongera ziende kwa eddie kenzo. Kaibeba sana uganda na hawa vijana.
Hao watoto ni wa eddy kenzo? I mean yeye ndio mwenye kituo?
 
Niliangalia live kupitia ITV-London. Walifanya vizuri hawa watoto yatima.
Pengine hiyo golden buzzer waliipata kutokana na hili la uyatima na kumtaja huyo jaji kabila ya show yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…