Wakati wa Lowassa ''walishitakiwa'' ICJ; Wakati wa Lissu ''wameshitakiwa'' ICC

Wakati wa Lowassa ''walishitakiwa'' ICJ; Wakati wa Lissu ''wameshitakiwa'' ICC

Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.

Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Mmeua watu makusudi mkijua hakuna mahakama za kuwashitaki.
 
Hahahahaha Msigwa alipenda sana huo msemo akiwa bungeni! Lakini matatizo ndani Cahedema Wanataka yatauliwe na chanzo kilekile kilichosababisha matatizo hayo
Hii inashangaza sana hasa pale anapojua hicho wanachokisema hakiwezekani!
 
Back
Top Bottom