Hawa jamaa wanajifanya wajuvi wa kila kitu,mfano huku nilimwuliza mmoja wao kwa nini hawakubandika picha za mgombea wao akasema eti gharama ya bango moja (ya raisi) ni sh milioni moja.Na wajinga wenzake wakaungana na kuilaumu serikali inawaoneaYaani hawa jamaa wanafurahisha sana!
Baada ya muda hizi kelele hatutazisikia tena mpaka baada ya uchaguzi mkuu 2025
Msichokijua hata nyie mnawaza yenu na hamshaurikiUnataka nichukue masaa mangapi kusoma unavyojiliwaza kama mtoto mdogo?!
Ukishajua fulani hatofautiani na jiwe, huna sababu ya kumsoma, siku zote anawaza vile vile.
Mkuu;Cha msingi CCM anzeni mchakato wa kuiondoa Tanzania kwenye mkataba huu wa ICC; mna wiki chache tu toka sasa!! Hamna namna nyingine ya kukwepa uchafuzi wa October 28th.
mmarekani ndio nani??Narudia tena, msiishi kwa mazoea mkajidanganya mmarekani anawaogopa, nyie ni vipofu wa fikra.
Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.
Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Kwhiyo angeunda tume yake na polisi wake kushindana na hao walio haribu uchaguzi ndio ungekuwa mkakati sahihi?Nadhani alijua siasa ni kupiga kelele majukwaani bila mkakati sahihi!
Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.
Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Makamanda "maandazi" huwa wananifurahisha sana wanapopeana ujinga hapa jukwaani!Huwa wanaongea maneno ya kujipa faraja tu.
Nawapa mwezi mmoja tu [siku 30] na watakuwa washazisahau hizo habari za ICC.
Ni upepo tu.
Huko ICC ni kujifurahisha tu.Makamanda walimtelekeza TL aandamane peke yake. Ameenda kuandamana huko ICC sijui?
Kama anachokisema Tundu Lissu anakiamini basi ni wazo zuri lakini kama ni maneno tu ya mdomoni itakuwa ni kupoteza muda!Mkuu, nashukuru hata umeweza kusoma na kumaliza nilichokiandika si haba.
Cha msingi ni kumuunga mkono Tundu Lissu ili hilo suala la maridhiano ambalo analipendekeza liweze kutekelezwa.
Kesi inasamehewa baada ya mtu kuwa Rais!Upotoshaji mkubwa, baada ya investigation Kenyatta na yule Makamo wa Rais zilitolewa warrant washikwe. Kesi ilisamehewa baada ya Kenyatta kuwa Rais,