Zanzibar hakukuwa na uchaguzi huru na amani. Magereza tangu lini wakaenda kutia kura?Kwa kiwango cha chaguzi za nchi za Afrika, uchaguzi wetu wa mwaka huu ulikuwa wa amani sana. Kila mwenye uelewa wa siasa za nchi za Afrika anajua.
Msamehe, yupo ndotoni siku nyingi sana.Zanzibar hakukuwa na uchaguzi huru na amani. Magereza tangu lini wakaenda kutia kura?
Jeshi limemwagwa Pemba, limepiga, limeuwa, limeteka. Ushahidi upo wazi kabisa. Kama unaamini uchaguzi wa Zanzibar ni wa huru na haki na amani basi wewe ni mjinga wa kutupwa tu.
Mpaka inafika 2025 mtaenda na mawazo kama haya badala ya kujikita kutafuta mabadiriko ya katiba na tume huru.Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.
Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Marekani anaitambua ICC?Narudia tena, msiishi kwa mazoea mkajidanganya mmarekani anawaogopa, nyie ni vipofu wa fikra.
Ni rahisi sana kuwajua kwa lugha zao wazee wa robo tatu. Ha ha ha aaa!Wacha utoto
Hapa ndo utawajua wafuasi wa Chadema walivyo na akili ndogo, hawajui kazi za ICJ na ICC. ndo maana viongozi wenu kwa kutumia upumbavu wenu huwa wanawaburuza tu mnapanua kama Amber RuthJipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.
Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Hopeless comment ever!Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.
Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Siasa ni maisha!Siasa ni ujinga
Ni nani aliyepewa mamlaka ya kuamua kama uchaguzi sio huru na haki?Zanzibar hakukuwa na uchaguzi huru na amani. Magereza tangu lini wakaenda kutia kura?
Jeshi limemwagwa Pemba, limepiga, limeuwa, limeteka. Ushahidi upo wazi kabisa. Kama unaamini uchaguzi wa Zanzibar ni wa huru na haki na amani basi wewe ni mjinga wa kutupwa tu.
Mmarekani anahusikaje na yoyote kati ya hizi mahakama mbili?Narudia tena, msiishi kwa mazoea mkajidanganya mmarekani anawaogopa, nyie ni vipofu wa fikra.
Kwa fikra hizi ndio maana nadhani wanaotuaminisha kuna kesi ICC wanajua tuna ujinga!Wahalifu wa kitaifa wanaweza kupelekwa ICC na wakashtakiwa huko na hii hutokea haswa ili kutoa haki kwani mahakama za ndani hazipo huru kutoa haki. Hata wewe unaweza kumshtaki mtu ICC endapo utaweza kufungua jalada huko.
Mkuu;
Kwani nikijipa moyo wewe unaumia?
Nadhani umesoma tu heading na kutoa maoni kama mlivyo ''makamanda''!