Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Hahahahaha Msigwa alipenda sana huo msemo akiwa bungeni! Lakini matatizo ndani Cahedema Wanataka yatauliwe na chanzo kilekile kilichosababisha matatizo hayo