Wakati wa Magufuli, watu walijiuzulu kwa wimbi kubwa , ilisaidia nini? Insanity is doing the some thing over and over again expecting different result

Wakati wa Magufuli, watu walijiuzulu kwa wimbi kubwa , ilisaidia nini? Insanity is doing the some thing over and over again expecting different result

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Ndugu zangu, kwa mujibu wa hiyo definition ya Albert Einstein, hawa watu ni vichaa na wanaowatumia au kuwatuma nao pia ni vichaa tu kwahiyo wasiwasumbue.

Kama watafanikiwa, basi hawa vichaa wataweka record ya dunia kuwa vichaa wa kwanza kufanikiwa duniani katika mipango yao.

Tuendelee kusubiri.
 
download.jpg
 
Mods naomba hapo kwenye heading isomeke "results" na sio result
 
Back
Top Bottom