Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

Ingekuwa wewe ndio Rais hao watu wa jangwani ungewasaidiaje kwa mfano?
Maana hao walishaambiwa wahame hapo hilo eneo sio zuri kwa makazi ya watu na wakapewa viwanja mabwepande wakauza na kurudi tena hapo jangwani ili mradi tu wakae karibu na mjini
Akili zenu ni kisoda ,sio tu watu wa manondeni bali hata wanakoishi uswazi.

Cha kufanya kila mkoa/Jimbo likiendeshe kuleta ufanisi wa kiutendaji na vipaombele

Pili kazi ya shirika la nyumba ni nini? Si wajenge apartments then wawape watu hata kea kulipia mdogo mdogo kwa kipindi hata Cha miaka 30 au zaidi Kama nchi zingine? Pesa mnazopoteza kujengea mastendi ya anasa Kama mbezi au madaraja na viwanja vya kijinga au kununulia wapinzani hamzioni? Stupid
 
Umeanza kwa spidi na matusi nikajua unataka kuandika kitu cha maana kumbe utopolo tupu.

Ni nani atakubali nyumba yake ivunjwe kisha ijengwe nyumba mpya kisha aanze kulipishwa madeni kila mwezi?Je unafikiri kila Mtanzania ana uwezo wa kulipia madeni ya kila mwezi.

Unaendaje kujenga sehemu yenye hitilafu kisha uitegemee serikali ije ikusaidie?

Kazi ya serikali ni kujenga miundombinu ya public na sio individual infrastructure.

Wewe ukitaka serikali ipite kwenye kila nyumba ya mtu na kurekebisha watamaliza lini?maana yake mambo mengine ya nchi yote yatasimama kwa ajili yako wewe

Akili zenu ni kisoda ,sio tu watu wa manondeni bali hata wanakoishi uswazi

Hapo ndio inaonyesha umeishiwa, mwenye wajibu wa kuhakikisha watu hawakiuki utaratibu ni nani Kama sio serikali? Huwezi wajengea wakae bure kwenye apartments wape fidia vunja maeneo kawape viwanja wajenge wenyewe.

Mambo gani yatasimama? Hiyo kazi haiwezi chukua zaidi ya biln 500 sasa huto tu hela ndio tutasimamisha kazi zingine? Mbona sgr na stiglaz zinapewa zaidi tilioni na mengine hayasimami? Hapo Kenya Wana upgrade kibera kwa staili hii sasa wewe unasema nini
 
Mbona viwanja walishapewa tangu enzi ya JK kule mabwepande wakauza na kurudi tena jangwani? Watu kama hao utawafanya nini kama wewe ndio Rais?
Hapo ndio inaonyesha umeishiwa,mwenye wajibu wa kuhakikisha watu hawakiuki utaratibu ni nani Kama sio serikali? Huwezi wajengea wakae bure kwenye apartments wape fidia vunja maeneo kawape viwanja wajenge wenyewe.
 
Akili zenu ni kisoda ,sio tu watu wa manondeni bali hata wanakoishi uswazi
Cha kufanya kila mkoa/Jimbo likiendeshe kuleta ufanisi wa kiutendaji na vipaombele
Pili kazi ya shirika la nyumba ni nini? Si wajenge apartments then wawape watu hata kea kulipia mdogo mdogo kwa kipindi hata Cha miaka 30 au zaidi Kama nchi zingine? Pesa mnazopoteza kujengea mastendi ya anasa Kama mbezi au madaraja na viwanja vya kijinga au kununulia wapinzani hamzioni? Stupid
kwamba kuna stand ya anasa ya mbezi!

hivi unajua mafuriko ni kitu gani wewe?
 
Kaka. Hata marekan kuna jaaga maj sehem nyingne. Kama ulisoma vizuri jiografia utaelewa kwann maeneo yaliyojaa maj yamejaa maj. Hata uweke miundombinu gan. Dar maji yatajaa tu.

Na saa nyingne inchi inafanya unnecessary projects kwa sabab za show off tu, na wala sio sababu za kichumi. Hata wew nyumban, unaweza amua weka dirisha na wavu au ukaweka Pvc windows. Au ujenge ghorofa ama nyumba ya chini..zote ni sabab ya show off tuu hazina maana yoyote.
 
Mkuu sasa hizi nyumba zilizojengwa bondeni kuna miundombinu gani utajenga kuepusha kufunikwa na maji?
Asilimia kubwa ya nyumba zilizojaa maji ni za bondeni au zilizojengwa kwenye njia za maji.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha watu wote duniani wanatakiwa kuishi kwenye miinuko tu!

Vipi kama Serikali ingejenga mitaro ya kisasa na kuielekeza baharini, madaraja imara, kuzuia uchafuzi wa mazingira na kudhibiti uharibifu wa wa kingo za mito, ukiwemo Mto Msimbazi?

Changamoto za mafuriko Jijini Dsm ni la muda mrefu na hakuonekani kuwa na mkakati wowote ule wa maana wa kuidhibiti hiyo hali! Kwa Dar hata mvua inyeshe kwa masaa tu, mafuriko lazima yatokee.

Tukubali tu miundombinu ina mchango wake. Hivyo hata ule mradi unao endelea wa kujenga daraja la maonesho la baharini (New Selender Bridge), kimsingi hauna tija. Bora hizo hela zingetumika kulipunguza au hata kulimaliza kabisa hilo tatizo la mafuriko na linalojirudia kila mwaka.
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha watu wote duniani wanatakiwa kuishi kwenye miinuko tu!
Vipi kama Serikali ingejenga mitaro ya kisasa na kuielekeza baharini, madaraja imara, kuzuia uchafuzi wa mazingira na kudhibiti uharibifu wa wa kingo za mito, ukiwemo Mto Msimbazi?

Changamoto za mafuriko Jijini Dsm ni la muda mrefu na hakuonekani kuwa na mkakati wowote ule wa maana wa kuidhibiti hiyo hali! Kwa Dar hata mvua inyeshe kwa masaa tu, mafuriko lazima yatokee.

Tukubali tu miundombinu ina mchango wake. Hivyo hata ule mradi unao endelea wa kujenga daraja la maonesho la baharini ( New Selender Bridge), kimsingi hauna tija. Bora hizo hela zingetumika kulipunguza au hata kulimaliza kabisa hilo tatizo la mafuriko na linalojirudia kila mwaka.
Kuna watu wa ajabu sana. Ni wapi nilipoandika watu wote duniani waishi kwenye miinuko? Wewe ulikuwepo Dar miaka 80? Jangwani hapo miaka ya 80 palikuwa panajaa maji? Tatizo la mafuriko limeanza miaka ya 90 kuja juu baada ya wajuaji kuja mjini na kuona wenyeji walioacha baadhi ya maeneo washamba. Sasa ndio mnaona madhara yake.

Tuombe Lissu achukue nchi atamaliza haya matatizo yote ndani ya siku 30 tu.
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha watu wote duniani wanatakiwa kuishi kwenye miinuko tu!
Vipi kama Serikali ingejenga mitaro ya kisasa na kuielekeza baharini, madaraja imara, kuzuia uchafuzi wa mazingira na kudhibiti uharibifu wa wa kingo za mito, ukiwemo Mto Msimbazi?

Changamoto za mafuriko Jijini Dsm ni la muda mrefu na hakuonekani kuwa na mkakati wowote ule wa maana wa kuidhibiti hiyo hali! Kwa Dar hata mvua inyeshe kwa masaa tu, mafuriko lazima yatokee.

Tukubali tu miundombinu ina mchango wake. Hivyo hata ule mradi unao endelea wa kujenga daraja la maonesho la baharini ( New Selender Bridge), kimsingi hauna tija. Bora hizo hela zingetumika kulipunguza au hata kulimaliza kabisa hilo tatizo la mafuriko na linalojirudia kila mwaka.
Mkuuu.ishu ya kujaa maji ni jiografia tu..ku control ni kaz sana kwa nchi zetu hiz maskin. Kuna kipind nilikua nafanya projects za serikal mahenge huko njia ya kule. Pale ifakara kuna muda mvua inanyesha mafuriko ya ajab yanatokea kama Dsm tu, maeneo yaliyo levels za usawa wa bahar ua mito au maziwa (mambo ya elevation) kukitokea overflooding au mvua ikizidi.

Maji lazima yajae hata ufanyeje cha muhimu ni jins ya kukabiliana na hayo maj, na kwa nchi zetu hzi za Africa. Ngumu kuweka akiba ya fedha kwa majanga. Sabab uchum hauruhusu..hyo hela ya kuhifadh ili uje utumie kwenye majanga huwa ina kaz nyingne. Kama afya etc.so tupambane na umaskin kwanza hayo mengne yatarekebika automaticaly
 
Mkuu shida siyo hayo madaraja na ma-flyover,shida ipo kwenye Policy(sera)za nchi,leo nilimsikiliza muheshimiwa Rais kwenye kampeni pale Kawe akiwaambia wananchi wa kawe kwamba serikali itatoa bilioni 5 kwa ajili ya marekebisho ya miundombinu nadhani ya kawe,.

Hapa ndipo tatizo lilipo,haiwezekani Jiji la Dar es salaam halina mamlaka yake kisera na kikanuni ya kufanya mambo yake ya maendeleo mpaka Rais aamue nini wafanye!,This is Big problem!,Sasa fikiria kama Rais ndiye mwenye mamlaka ya kuamua ni nini afanye wapi na kwa wakati gani,we unadhani tutafika?,Majiji au mikoa yote ilipaswa yajiendeshe kwa mapato yake ya ndani kwa ajili ya maendeleo ya mkoa /jiji husika,serikali kuu ilipaswa ifanye mambo makubwa ya nchi lakini haya ya miundo mbinu,mitaro na madaraja ya hapa Dar es salaam ilipaswa yafanyike pasipo kuingiliwa na serikali kuu!!,VINGINEVYO DAR ES SALAAM ITAENDELEA KUWA JALALA,DAMPO,SHIMO LA MAJI TAKA MPAKA TUKOME!

Kila kitu kwenye hii nchi kimekaa kisiasa,hata kama kinajengwa kidaraja kidogo tu lazima utawakuta watendaji wa serikali wakisifia sana "TUNAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUTUPATIA HIZI MILIONI 50 KWA AJILI YA UJENZI WA ILI DARAJA,WANANCHI WAMETESEKA KWA MUDA MREFU NA HAWAKUWA NA MTETEZI,ILA RAIS MAGUFULI NI KIONGOZI WA WANYONGE,KAWAKUMBUKA WATU WA NACHINGWEA",Aisee hizi kauli huwa sizipendi hata kidogo!
Mkuu umeongea point
 
Wakitimuliwa kwa nguvu mtakuja kufungua uzi hapa kwamba hii serikali ni katili na ina roho mbaya kama shetani,kwani huwa mna jema nyinyi?
Mkiwadhulumu lazima watetewe,wajengeeni apartments au wapeni fidia na viwanja mvunje hilo eneo na lifanyiwe zoning
Mumevunjia watu majumba yao huko kimara hamjawapa chochote afu unaongea upupu hapa
 
kwamba kuna stand ya anasa ya mbezi!

hivi unajua mafuriko ni kitu gani wewe?
Sasa stend ya mbezi ina maana gani Kama sio kupoteza pesa tu,mawasiliano pale Kuna stend umeona ina shida gani kwani ikiwa Kama ile? Mara magorofa Mara mbwembwe za nini? Fanyeni vitu vya maana kwa pesa reasonable Kuliko kutafuta sifa za kijinga. Nakupa mfano wa ujinga wenu, Iringa na Sumbawanga wamejenga ma stendi ya mahilioni ya pesa huko nje ya mji na magorofa juu afu hakuna Cha maana kinachoendelea, haya si matumizi mabaya ya pesa? Kwamba hivyo ndio vipaombele vya kutatua kero za maisha ya watu ikiwemo wanaokumvwa na mafuriko kwa kwa ujenzi holela?
 
Wewe unajua kwamba hao waliovunjiwa hayo maeneo yalishalipwa fidia siku nyingi sana lakini kwa kuwa wana akili duni kama zako wakaendelea kujenga na wengine wakauziana, ndio kinachotokea leo.

Sasa sijui unakubali nini na unakataa nini?

Unalaumu kimara watu kuvunjiwa nyumba zao hapo hapo unalaumu kwa nini watu wa jangwani wasivunjiwe nyumba na hilo eneo lizibwe,hapo lipi jema sasa?

Mkiwadhulumu lazima watetewe,wajengeeni apartments au wapeni fidia na viwanja mvunje hilo eneo na lifanyiwe zoning
Mumevunjia watu majumba yao huko kimara hamjawapa chochote afu unaongea upupu hapa
 
wewe unajua kwamba hao waliovunjiwa hayo maeneo yalishalipwa fidia siku nyingi sana lakini kwa kuwa wana akili duni kama zako wakaendelea kujenga na wengine wakauziana,ndio kinachotokea leo.
Sasa sijui unakubali nini na unakataa nini?
Unalaumu kimara watu kuvunjiwa nyumba zao hapo hapo unalaumu kwa nini watu wa jangwani wasivunjiwe nyumba na hilo eneo lizibwe,hapo lipi jema sasa?
Basi endeleeni kutuma boti na helkopta zikawaokoe, viazi nyie kila kitu mumeshindwa miaka 60 sasa, seems mnalaana nyie
 
Onyesheni mfano mlichofanya hata kimoja,na kila mwezi mnachangishana pesa zinaenda kwenye Saccos ya mtu.
Halmashauri ya Tarime inayoongozwa na Chadema hakuna mzazi anachangishwa pesa za madarasa wala kupeleka madawati shule,hakuna mtoto anaekaa chini ma ccm yameshindwa kuleta waalimu wa kutosha.
 
Sasa stend ya mbezi ina maana gani Kama sio kupoteza pesa tu,mawasiliano pale Kuna stend umeona ina shida gani kwani ikiwa Kama ile? Mara magorofa Mara mbwembwe za nini? Fanyeni vitu vya maana kwa pesa reasonable Kuliko kutafuta sifa za kijinga.Nakupa mfano wa ujinga wenu,Iringa na Sumbawanga wamejenga ma stendi ya mahilioni ya pesa huko nje ya mji na magorofa juu afu hakuna Cha maana kinachoendelea ,haya si matumizi mabaya ya pesa? Kwamba hivyo ndio vipaombele vya kutatua kero za maisha ya watu ikiwemo wanaokumvwa na mafuriko kwa kwa ujenzi holela?
nawewe kajenge bondeni wakati unasubiri serikali ichukue maamuzi ya kutojenga stand.
 
Back
Top Bottom