ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Akili zenu ni kisoda ,sio tu watu wa manondeni bali hata wanakoishi uswazi.Ingekuwa wewe ndio Rais hao watu wa jangwani ungewasaidiaje kwa mfano?
Maana hao walishaambiwa wahame hapo hilo eneo sio zuri kwa makazi ya watu na wakapewa viwanja mabwepande wakauza na kurudi tena hapo jangwani ili mradi tu wakae karibu na mjini
Cha kufanya kila mkoa/Jimbo likiendeshe kuleta ufanisi wa kiutendaji na vipaombele
Pili kazi ya shirika la nyumba ni nini? Si wajenge apartments then wawape watu hata kea kulipia mdogo mdogo kwa kipindi hata Cha miaka 30 au zaidi Kama nchi zingine? Pesa mnazopoteza kujengea mastendi ya anasa Kama mbezi au madaraja na viwanja vya kijinga au kununulia wapinzani hamzioni? Stupid