Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

Hapo mtu wa kupewa sifa ni Nyerere kuwa alijua maana ya utawala wa sheria akamwachia CJ Nyalali uwanja wake wa kusimamia Katiba na sheria nchini. Katika utumishi Serikalini kama kuna jambo unatakiwa kufanya ambalo ni kinyume na Katiba, sheria au dhamira yako, unatafuta namna nzuri ya kujiuzulu kuliko kutumiwa kuumiza watu wengine. Hakuna wadhifa muhimu kuliko utu wako. Mtu huzaliwi ili uwe na cheo fulani lazima uchague kama hicho cheo kinakuza utu! Uamuzi huo ni wa binafsi!
 
Ni Jaji ambae ni mfano bora wa kuepukwa na jamii na aliyeacha taswira mbovu kabisa ya cheo chake!
Hafai kuitwa Mh. jaji kabisa huyu mtu! Na majaji wa namna hiyo Tz bado wapo wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…