Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Ndivyo ulivyoambiwa kanisani ?? Yaani muuzaji kajizuia kuuza 😝😝😝 Mkunazini hapajapata kuuzwa mtumwa hata mmoja. Kile kiwanja walipewa kanisa na Muingereza akaona ajenge kanisa na kuweka propaganda yake kuwa pale waliuzwa watumwa
 
Biashara ya Utumwa nchini Tanganyika iliendeshwa na Waarabu.
Sio Waarabu tu hata wazungu jiulize swali Kilimo cha Katani katk mikoa kama Morogoro Tanga kilianzishwa na akina nani na wale watumwa waliokuwa wakilima huko walikuwa wakitumikishwa na akina Nan? na walipatikana vipi?
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Hii propaganda ya kuonekana mwarabu kafanya biashara ya utumwa na wazungu wanaonekana watetezi wa utumwa kupitia kanisa itaisha lini?? Mbona ni old way sanaaa watu wanashtuka kaka
 
Kama unasema kwamba "Mungu hajawahi kuonekana"
Mungu ni roho tunayoiona kupitia matokeo ya nguvu zake,haiwezekani kumwona ktk macho au vipimo vya maabara.
Walio sema Mungu yupo, walifanya uchunguzi gani na utafiti upi waka gundua kwamba huyo Mungu hawezi kuonekana?
Mungu ni roho,inabidi ufahamu roho ni nini ipi uwe na msingi mzuri wa kuuliza maswali yako.
Walifahamu vipi kwanza huyo Mungu yupo?
kwa kupitia matokeo ya kazi zake,ambazo ni kama shamba zuri lililopaliliwa na kupandwa mazao kwa ustadi.
Kisha wakaja na hitimisho kwamba huyo Mungu yupo ila hajawahi kuonekana?
Mungu ni roho tunamjua na tunamuona kupitia kazi zake si kwa macho.
Yaani wajue Mungu yupo, Halafu hapohapo waseme hajawahi kuonekana!!!
Mungu sio charger yako ya simu kwamba unapoiweka itakaa hapo na kama unajua ipo basi ni kwa kuiona.
Huoni , Hoja ya uwepo wa huyo Mungu ni ndoto za kufikirika?
kufikirika ndio point yenyewe ya uwepo wa Mungu,inafaa uwe na fikra kubwa zaidi kuona uwepo wake,vinginevyo utaanza kuuliza ameonekana wapi kama ufanyavyo wewe hapa
 
Mleta mada nimesoma kichwa cha habari nikachoka kabisa na kuona mada yako ni ya hovyo na isiyo na akili.
Bora ungekaa tu kimya kuficha ujinga!
 
Utumwa ulikuwepo toka enzi kuumbwa ulimwengu na Mungu aliruhusu, when the need of watumwa ilipoibuka, ni Wamishenari ndio liliwagomboa watumwa waliopo kwa kuwanunua na kuwaacha huru.

Pale soko la watumwa la Zanzibar, Mkunazini, ikatokea watumwa ni wengi, wamegombolewa na hawana pa kwenda, ndipo Anglican church wakaomba kuuziwa hilo eneo na kuendelea kuwahifadhi, watumwa wote waliokuwa gombolewa na Mission wakawa converted into Christian na ndio Wakristo wa Zanzibar!.
P
Unaweza kuwa sawa...ila sasa kumbe huwa tunasoma history ya uongo kwamba wamissionari walikuwa agents of colonialism? Hii u turn kutoka kuwa agents mpk wakombozi ndio haieleweki nini ilisababishwa na nini? Au ni baada ya kuona wamenufaika vya kutosha?
 
Sio historia ya uongo, missionaries were agents of colonialism and letter agents of abolition of the slave trade.

Hii sawa sawa.. basi waombe radhi kwa kutesa watu na si kutaka wawe praised kwa kuondoa tatizo waliloleta wao. Kama tu issue ya pesa za bureau de Change ambayo serikali iliziteka na leo wanatangaza kuzirudisha. Kuna habari hapo?
 
1. Kanisa Katoliki waliisha omba radhi kuunyamazia utumwa.
2. Tunafundishwa kuwa watu wa shukrani, ukitendewa mabaya shukuru, ukitendewa mema shukuru.
3. Tulipo piga marufuku mikutano, tulinyamaza, mikutano ilipo ruhusiwa tukashukuru Mungu!.
4. Waliopora fedha bureau tulinyamaza, wanaporudisha, tunashukuru!.
5. Agents of colonialism anapozuia utumwa tunamshukuru.
P
 
Waarabu waliwafanya nini enyi wafuasi wa paulo? Mbona kila kitu waarabu waarabu!! Huko mashuleni hadi kwenye vitabu waarabu waarabu sijui kama bado yapo hayo madudu mliyo aminishwa!!
Shule tulizofundishwa ni zile za elimu ya propaganda (ni story ya uongo ambayo itaelezwa kizazi kwa kizazi mpaka iamini hii ni kweli) nchi hii kabla ya koloni ilikuwa chini ya dola ya kiislamu na moja ya fitina walianza kwa kutumia michoro mpaka leo kkkt wanapiga kelele et bandari anapewa mwarabu ataleta utumwa wao wamefanya nn zaidi ya kuzidisha umaskitin
 
1. Kanisa Katoliki waliisha omba radhi kuunyamazia utumwa.
2. Tunafundishwa kuwa watu wa shukrani, ukitendewa mabaya shukuru, ukitendewa mema shukuru.
3. Tulipo piga marufuku mikutano, tulinyamaza, mikutano ilipo ruhusiwa tukashukuru Mungu!.
4. Waliopora fedha bureau tulinyamaza, wanaporudisha, tunashukuru!.
5. Agents of colonialism anapozuia utumwa tunamshukuru.
P
Sawa mkuu tushukuru kwa Kila jambo.
Hivi tunawezaje wasaidia West Africa kutoka mikononi mwa Mfaransa?
Sisi angalau tumetoka kiasi chake mkoloni wetu hakuwa king'ang'anizi wao je?
Tanzania tulikuwa kiongozi enzi za ukombozi kupigania uhuru kusini mwa Africa vipi Leo hatuna la kufanya kabisa kusaidia huko West Africa?
 
Hawa watu ukitaka kuwateka akili zao japo sio wote, waandikie historia yoyote ya kizushi kuhusu mwarabu wataamini kilichotungwa kwa sababu gani!! Mwarabu anachukiwa, Uislamu unapigwa vita. Yani anakuja mtu from nowhere eti waarabu ni watu wabaya sana [emoji1] ubaya wake nini? Walitesa mababu zetu, haya ukimuuliza je! Wakati wanateswa ulikuwepo hamna[emoji1] ona sasa!
Kwahiyo, Kwasababu wakati mtume anaeneza UISLAMU hukuwepo basi taarifa hiyo siyo ya KWELI?, Hiyo itakuwa akili ya ajabu sana.
KIFUPI: Historia inatuwezesha kupata taarifa kupitia wale waliokuwepo wakati huo ambao walishuhudia tukio likitokea( eye witness).
 
Mungu ni roho tunayoiona kupitia matokeo ya nguvu zake,haiwezekani kumwona ktk macho au vipimo vya maabara.

Mungu ni roho,inabidi ufahamu roho ni nini ipi uwe na msingi mzuri wa kuuliza maswali yako.

kwa kupitia matokeo ya kazi zake,ambazo ni kama shamba zuri lililopaliliwa na kupandwa mazao kwa ustadi.

Mungu ni roho tunamjua na tunamuona kupitia kazi zake si kwa macho.

Mungu sio charger yako ya simu kwamba unapoiweka itakaa hapo na kama unajua ipo basi ni kwa kuiona.

kufikirika ndio point yenyewe ya uwepo wa Mungu,inafaa uwe na fikra kubwa zaidi kuona uwepo wake,vinginevyo utaanza kuuliza ameonekana wapi kama ufanyavyo wewe hapa
Basi Mungu huyo Hayupo katika uhalisia ni dhana ya kufikirika tu isiyo kuwepo inayo dhaniwa ipo.

Imaginations just an illusion.
 
Ilikuwaje wamissionari wawe agents wa colonialism na hapo hapo waje wakomeshe utumwa? Babu zetu kwa Karne nyingi sana walisafiriahwa kwenda Marekani bila wamissionari kuingilia kati kivipi waje wawe ndio wakimaliza hii biashara haramu? Namuangaliaga tu Bagonza akijidai kukemea maovu serikalini wakati hajawahi wakemea wamissionari wenzake wa kijerumani waliowatesa na kunyonga wazee wetu kwenye mibuyu ya wajerumani Tanzania yote. Babu zetu wakiamka leo watatushangaa kwa tulivyowasaliti.
Mjerumani alimpeleka nani utumwani?
 
Sio Waarabu tu hata wazungu jiulize swali Kilimo cha Katani katk mikoa kama Morogoro Tanga kilianzishwa na akina nani na wale watumwa waliokuwa wakilima huko walikuwa wakitumikishwa na akina Nan? na walipatikana vipi?
Hata babu yangu alishawahi fanya kibarua kwenye mashamba hayo.Kwa mujibu wa babu yangu walikuwa wanatembea kwa miguu kwa hiari yao wenyewe kutoka Sumbawanga kwenda Morogoro na Tanga kutafuta hela kwenye mashamba ya Katani na hizo hela zilitumika kununulia ng'ombe kwa wakati huo.Kwa hiyo utumwa wa Mzungu na Mwarabu ni vitu viwili tofauti,kwa Mzungu ulikuwa ni sehemu ya kutafutia utajiri lakini kwa Mwarabu ulikuwa ni sehemu ya kufukarisha watu weusi na kuwafanya omba omba.
 
Nao
Utumwa ulikuwepo toka enzi kuumbwa ulimwengu na Mungu aliruhusu, when the need of watumwa ilipoibuka, ni Wamishenari ndio liliwagomboa watumwa waliopo kwa kuwanunua na kuwaacha huru.

Pale soko la watumwa la Zanzibar, Mkunazini, ikatokea watumwa ni wengi, wamegombolewa na hawana pa kwenda, ndipo Anglican church wakaomba kuuziwa hilo eneo na kuendelea kuwahifadhi, watumwa wote waliokuwa gombolewa na Mission wakawa converted into Christian na ndio Wakristo wa Zanzibar!.
P

Hata babu yangu alishawahi fanya kibarua kwenye mashamba hayo.Kwa mujibu wa babu yangu walikuwa wanatembea kwa miguu kwa hiari yao wenyewe kutoka Sumbawanga kwenda Morogoro na Tanga kutafuta hela kwenye mashamba ya Katani na hizo hela zilitumika kununulia ng'ombe kwa wakati huo.Kwa hiyo utumwa wa Mzungu na Mwarabu ni vitu viwili tofauti,kwa Mzungu ulikuwa ni sehemu ya kutafutia utajiri lakini kwa Mwarabu ulikuwa ni sehemu ya kufukarisha watu weusi na kuwafanya omba omba.
Babu Yako alikudanganya sana kwaiyo unataka uniambie hata wakati inajengwa Reli ya kati na mjeruman Babu zetu walifanya kazi kama vibarua kwa hiyari yao?
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Uliza kwanza watemi walikuwa wapi?sababu watemi ndio walihusika sehemu kubwa kuwauza vijana kwa waarabu na waarabu kuuza kwa wazungu
 
Back
Top Bottom