Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

Baada ya kusitiswa ndio kanisa likaingilia, vipi kabla ya hapo, je hawakuona waumini wao wakifanya biashara ya utumwa?
Kanisa katoliki huwezi litenganisha utumwa nenda bagamoyo kuna kanisa lililo jengwa likiwa na njia ya chini kwa chini mpaka ufukweni andaki hilo lilikuwa likipitasha watumwa,muarabu mzungu na watemi huwezi kuwatoa kwenye biashara ya utumwa
 
Attachments

  • FB_IMG_1692802052792.jpg
    FB_IMG_1692802052792.jpg
    32.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom