25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Kanisa katoliki huwezi litenganisha utumwa nenda bagamoyo kuna kanisa lililo jengwa likiwa na njia ya chini kwa chini mpaka ufukweni andaki hilo lilikuwa likipitasha watumwa,muarabu mzungu na watemi huwezi kuwatoa kwenye biashara ya utumwaBaada ya kusitiswa ndio kanisa likaingilia, vipi kabla ya hapo, je hawakuona waumini wao wakifanya biashara ya utumwa?