Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Rais ndio anazuia hayo majanga kutokea Ili Nyie nyumbu msiangamie? Wewe utakuwa ni mbuzi
 
Madam why are you cold blooded ? 50 people have died ? Unaijua multiplication effect ya watu hamsini ? Yule ni Rais wa Tanzania na kwa janga kama hilo alitakiwa awe Tanzania, materfact anatakuwa arudi haraka sana ndio moja ya kazi yake hakuna namna she has to be here dunia nzima ndio huwa iko hivyo , tafuta nchi yeyote ambayo nchini tragedy ilitokea alafu kiongozi wa hiyo nchi akawa yupo abroad ana score deals zingine, we tafuta tu alafu leta mifano. Kwanza tunatakiwa tujue dubai kaenda ku score deal gani ili tulinganishe uzito, isije ikawa kaenda kwa personal affairs alafu ashindwe kurudi na janga lililotokea ni kubwa, remember NI KAZI YAKE so she has to be around…
Kitengo cha maafa kinasimamiwa na nani? Je kazi inafanyika au haifanyiki?
Tuseme rais akarudi unadhani kutakuwa na maajabu gani hapo?
Unadhani huko aliko hafatilii kujua kama mambo yanaenda sawa au la?

Acheni figisufigusu bana..kuna mambo mengi ya kulalamika lkn sio hili.

Safari Dubai imekuwa planned imegharimu pesa nyingi, imagine wanasema wameenda watu 700, sijui kama kweli au vipi.
Hizo pesa zipotee bure waahirishe kila kitu warudi kufanya nini ambacho akiwa hayupo hakiwezi kufanyika?

Sitetei hiyo safari kusema kama ina umuhimu au la lkn tayari imeshafanyika. Mwacheni amalizie.
 
Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Rais ameguswa mno na jambo hili na amekatisha ziara zake zote ughaibuni na tayari ameshatoa maelekezo kwa kamati ya maafaa chini ya WM akishirikiana na mkuu wa mkoa wa manyara jinsi ya kushughulika na Jambo hili....
Amehuzunika sana na ametoa pole kwa wanamanyara wote.

Tuwe wastahimilivu wakati vyombo vya ulinzi, usalama na raia wema wa eneo husika wakiendelea na uokozi na kutafuta wasio onekana mpaka sasa.

Pole kwa majeruhi na wathirika wote kwenye mafuriko na maporomoko.

Zaidi sana nawaombea subra na ustahimilivu kwa waliofiwa na wapendwa wao.

Mwenyezi Mungu akawe faraja kuu kwao. Awapokee marehemu wote na kuwaweka wanapostahili na wapumzike kwa Amani....
 
I
Bro hii nchi haina kitengo cha uokoaji na dharula? Akirudi nchini yeye ndio atakuwa muokoaji?
shue sio yeye kuwa mwokoaji, kuwepo ni kazi yake mkuu sasa nani amfanyie kazi yake yan Rais wa nchi ni comforter in chief so lazima awepo, akiwepo bosi wao execution ya haya mambo inaweza ikawa na some sort of improvement…Yan unataka kupinga kwamba uwepo wa mtu fulani huwa unabadilisha namna mambo yanavyokwenda ? Kwanini useme akirudi ndio ataokoa ? Kwahiyo tusiwe na raisi kabisa kama hata asipokuwepo kazi zake zinaweza kuwa covered na watu wengine ? Nchi gani umewah kuona jambo kama hilo wakipata disaster ?
 
Kitengo cha maafa kinasimamiwa na nani? Je kazi inafanyika au haifanyiki?
Tuseme rais akarudi unadhani kutakuwa na maajabu gani hapo?
Unadhani huko aliko hafatilii kujua kama mambo yanaenda sawa au la?

Acheni figisufigusu bana..kuna mambo mengi ya kulalamika lkn sio hili.

Safari Dubai imekuwa planned imegharimu pesa nyingi, imagine wanasema wameenda watu 700, sijui kama kweli au vipi.
Hizo pesa zipotee bure waahirishe kila kitu warudi kufanya nini ambacho akiwa hayupo hakiwezi kufanyika?

Sitetei hiyo safari kusema kama ina umuhimu au la lkn tayari imeshafanyika. Mwacheni amalizie.
Waziri Mkuu ndie mwenyekiti kamati ya maafa kitaifa na Makamu wake ni Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, wakishirikiana na mkuu wa mkoa husika wanafanya kazi na vyombo vya ulinzi na usalama usiku na mchana kushughulika na Jambo hili. Tuwe wastahimilivu kidogo..

Rais yupo njian anarejea nchini kutoka ughaibuni baada ya kukatisha ziara yake ghafla kutokana na janga la mafuriko, kabla ya kuhitimishwa wiki ijayo
 
Nafahamu hilo hebu toa uchawa wako hapa
 
Kitengo cha maafa kinasimamiwa na nani? Je kazi inafanyika au haifanyiki?
Tuseme rais akarudi unadhani kutakuwa na maajabu gani hapo?
Unadhani huko aliko hafatilii kujua kama mambo yanaenda sawa au la?

Acheni figisufigusu bana..kuna mambo mengi ya kulalamika lkn sio hili.

Safari Dubai imekuwa planned imegharimu pesa nyingi, imagine wanasema wameenda watu 700, sijui kama kweli au vipi.
Hizo pesa zipotee bure waahirishe kila kitu warudi kufanya nini ambacho akiwa hayupo hakiwezi kufanyika?

Sitetei hiyo safari kusema kama ina umuhimu au la lkn tayari imeshafanyika. Mwacheni amalizie.
Alafu demi ebu kuwa serious kidogo my friend, unataka tuongelee kitengo cha maafa Tanzania ? 😂😂😂 you are joking right ?
 
I

shue sio yeye kuwa mwokoaji, kuwepo ni kazi yake mkuu sasa nani amfanyie kazi yake yan Rais wa nchi ni comforter in chief so lazima awepo, akiwepo bosi wao execution ya haya mambo inaweza ikawa na some sort of improvement…Yan unataka kupinga kwamba uwepo wa mtu fulani huwa unabadilisha namna mambo yanavyokwenda ? Kwanini useme akirudi ndio ataokoa ? Kwahiyo tusiwe na raisi kabisa kama hata asipokuwepo kazi zake zinaweza kuwa covered na watu wengine ? Nchi gani umewah kuona jambo kama hilo wakipata disaster ?
Unafahamu huko nje ana majukumu gani? Je unazani Kila kazi unaweza kuikatiza tu ili urudi kuwapa comfortability wananchi wako?
 
Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa ughaibuni si sawa Rais wangu. Huwa tunaona Marais wenzako wakikatiza ziara zao pindi patokeapo matatizo kama haya nchini mwao.
Serikali haikuleta tetemeko☺️😊 nimekumbuka mbali sana in JPM voice..
 
Alafu demi ebu kuwa serious kidogo my friend, unataka tuongelee kitengo cha maafa Tanzania ? 😂😂😂 you are joking right ?
Anhaa kumbe unatufahamu vizuri tulivyo. Sasa huyo rais unayetaka arudi yeye ni muingereza ama?
Wakati maafa mengine yametokea alikuwepo kuna maajabu yoyote ulishuhudia?
 
Unafahamu huko nje ana majukumu gani? Je unazani Kila kazi unaweza kuikatiza tu ili urudi kuwapa comfortability wananchi wako?
Ndio sema anamajukumu gani ili tupime uzito , ukiwa unafanyaa kazi za jamii sio siri, anafanya nini huko ? Mkuu anafanya nini huko ? Ebu nieleze anavhofanya kina impact gani kwa watanzania in the near future ? Sababu anachofanya huko ni kazi yake na kuwepo huku sasaivi ni kazi yake pia…WHAT IS THE PRESIDENT DOING IN DUBAI ?
 
Anhaa kumbe unatufahamu vizuri tulivyo. Sasa huyo rais unayetaka arudi yeye ni muingereza ama?
Wakati maafa mengine yametokea alikuwepo kuna maajabu yoyote ulishuhudia?
Yan hata uwepo wake unaweza ukabust morale ya utendaji wa kazi madam me siongelei yeye kuvaa mabuti azame front, ni kazi yake lazima watu wahoji sasa kama mtu hafanyi kazi yake tusimhoji ?
 
Ndio sema anamajukumu gani ili tupime uzito , ukiwa unafanyaa kazi za jamii sio siri, anafanya nini huko ? Mkuu anafanya nini huko ? Ebu nieleze anavhofanya kina impact gani kwa watanzania in the near future ? Sababu anachofanya huko ni kazi yake na kuwepo huku sasaivi ni kazi yake pia…WHAT IS THE PRESIDENT DOING IN DUBAI ?Mkuu ww fwatilia afu ujue anachofanya huko kina maslahi au hakina
 
Yan hata uwepo wake unaweza ukabust morale ya utendaji wa kazi madam me siongelei yeye kuvaa mabuti azame front, ni kazi yake lazima watu wahoji sasa kama mtu hafanyi kazi yake tusimhoji ?
Hatua ya kwanza amefanya ni kutoa pole kwa wanamanyara wote..

Hatua ya pili katoa maelekezo kwa kamati ya maafa na vyombo vya ulinzi na usalama kuwa filed 24/7

Tatu amsestisha ziara hiyo ndefu ughaibuni na kureajea nyumbani maramoja kuungana na waTz kuomboleza na kushughulika na Jambo hili...
 
Back
Top Bottom