muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 686
- 966
Sad ya nyokoVery sad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sad ya nyokoVery sad
Biashara za vyombo vya moto ni ZARI ZALINA...duh huyo hana zali
Na wabunge!?? Walipitisha inawahusu!?? Uchawa ukizidi unakuwa fwalaaaanalia kwa Furaha baada ya kukunja 21m at once ambayo haijawahi kuishika, analia kwasabb kachelewa kuzipata hizo 21m kwa sababu mbalimbali au analia kwa sababu fedha alizopata ni kidogo kutokana na kiasi kingine kulipa deni alilokopa na kumsaidia mwenye? au analia kwa Furaha kwasabb kiasi kilichobaki kitamsadia kwa muda marefu pole pole kidogo kidogo 🐒
na umejuaje analia kwa miongoni mwa sababu hizo hapo juu? wewe ni nani wake kwanza 🐒
aulizwe vizuri, huenda ana matatizo mengine binafsi makubwa zaidi, lakini Sheria hii haibagui cheo au nafasi ulioko. Sheria ni msumeno yeyote atakaestaafu atafuata sheria ya kikokotoo iliyopo 🐒
Mungu anaombwa na wengi ...mpaka foleni yake ya maombi kumfikia Mungu anaweza kuwa ameshadanja.....Mkombozi ni shamba tu! Maana yake shamba la bei poa, kinyumba cha gharama nafuu sana wenyewe wanaita SLOPE , weka solar .
Fuga kuku wa kienyeji, kipindi cha kilimo Lima kwa utaalam, mambo mengine muombe Mungu.
wabunge ni nani kwa nani, hata iwahusu?🐒Na wabunge!?? Walipitisha inawahusu!?? Uchawa ukizidi unakuwa fwalaaa
Hivi bro.. ukiona mtu mzima anatoa machozi usifikiri masihala, je unajua huyu jamaa alikuwa akipokea mshahara wa shilingi ngapi? je unajua ana watoto na wategemezi wangapi? umemsikia akisema alitegemea hela hii ya mkupuo anunue ka-shamba na kuanza kulima, kwa hiyo inawezekana hana nyumba hata kasehemu ka kujihifadhi.....je hako kaposho ka asilimia ngapi sijui ya average ya mishahara yake ya nyuma kila mwezi katatosha. kumbuka hata hako ka 10 millioni anasema kuna msururu wa wadai wanakasubilia na kenyewe.