Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
For a nation that depends largely on tourism, utashugulikia aje watu wa chini pekee bila kuipa kipau mbele national carrier yenu ambao inatumika kuleta watalii nchini????Kwa watanzania tulio wengi, kipaumbele chetu cha kwanza hakikuwa ndege...!! Raia hawana madawa hospital, hatuna maji safi na salama ya kunywa, miundombinu mibovu, hatuna umeme wa uhakika, vijana hawana Ajira, mikopo ya vyuo vikuu bado ni vichomi, unga sasa ni Tsh. 1500 kwa kilo( Gharama za maisha kupanda), ..!! Kama serikali hii inajari watu wa chini na ndio tulio wengi, ingeshughulikia vipaumbele hivi kwanza.