Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Rwanda watu hamuijui, kule unaruhusiwa kusema kitu kizuri tuu ndio maana unaona watu qanajua mambo mazuri tuu. nenda jisahau kama hutarudi bila kichwa. kule hakuna Uhuru kama huu wa kushinda jamiiforum.
 
Wivu utakuua sio itakuua. Kiswahili kibovu kelele nyingi mbisi kabisa. Chukua kamusi usome mbisi ni nini?!
If you have understood the meaning, why are you showing us your ignorance... '' miss know everything right ''
 
It's not a dream. It's just that i have never seen somebody so lethargic and silly
Tatizo wakenya mungu aliwaongeza "gene" kwenye DNA zenu ya kutaka kushinda kwenye kila kitu. Na msipo shinda mnapata homa kali ya kushindwa.

Haya, pata Panadol mbili mara tatu kwa siku, kwa siku tatu .... Maumivu yakizidi muone daktari.
 
Tatizo wakenya mungu aliwaongeza "gene" kwenye DNA zenu ya kutaka kushinda kwenye kila kitu. Na msipo shinda mnapata homa kali ya kushindwa.

Haya, pata Panadol mbili mara tatu kwa siku, kwa siku tatu .... Maumivu yakizidi muone daktari.

Asante kwa Mungu kwa kutuongezea gene. Thankyou God.
 
Mnaoamini katika maendeleo ya vitu sawa.
Niletee picha za makazi ya watu wa Rwanda hasa vijijini ndio nitakuelewa.
 
Tatizo wakenya mungu aliwaongeza "gene" kwenye DNA zenu ya kutaka kushinda kwenye kila kitu. Na msipo shinda mnapata homa kali ya kushindwa.

Haya, pata Panadol mbili mara tatu kwa siku, kwa siku tatu .... Maumivu yakizidi muone daktari.
[emoji23] [emoji23] pharmicists wamekataa na dawa, madaktari wamesusia kazi. Haina tofauti na kuishi msituni.
 
Picha nzuri za ndege zenu.

Umesahau kuandika faida ya shirika la Kenya Airways.

Shirika linableed miaka minne mfululizo. 2015-2016 Financial Year, KQ wamepata hasara ya $258 million.

Imeuza slots zake Healthrow kupunguza hasara.
Stock zake zimepungua bei.
Ndege pia zimeuzwa kupunguza hasara.
Wafanyakazi 600 wako njiani kufukuzwa kazi.

Biashara za ndege ni kazi ngumu. Inahitaji kujipanga na haitaki siasa.

The source is from your own newspaper, nation.co.ke.

This was in 2015!


Poor management decisions, operational inefficiencies and failure to counter competition are likely to have caused the Sh25.7 billion Kenya Airways loss.

Preliminary evidence gathered by a Senate Select Committee tasked to look into the airline’s operations has revealed strategic errors that led to the near-collapse of Kenya’s flag carrier after its loss figure grew more than 600 per cent in one year.

The committee chairman, Prof Anyang’ Nyong’o (Kisumu senator), said the meetings held with KQ management, so far, had given crucial indicators on what is ailing the airline, which is surviving on huge debts.

“Prima facie evidence shows the airline faces major problems like poor investments decisions by management on the buying and leasing of aircraft,” said Prof Nyong’o.

The airline is also said to be involved in expensive and non-competitive tickecting, which led to loss of passengers.

Kenya Airways is also faulted for its failure to explore more African routes.

The Senate also observed that frequent industrial unrests by employees prevented the creation of a healthy business environment.

Poor customer relations is also said to have failed KQ, as well as frequent cancellation of flights, which is blamed for lack of passengers.

Analysts, are, however, divided on possible bailout strategies for the cash-strapped carrier. While some back a government bailout, others propose the involvement of a different equity partner.

Standard Bank investment analyst Eric Musau believes the airline is headed for collapse if no rescue plan is hatched quickly. He said the airline risks losing all its assets to creditors in the event that no action is taken to save it.

“Planes bought on loan and those leased are likely to be the first to be taken away. That means the airline, which is already insolvent, would sink immediately. The creditors may not realise their full value considering that KQ now has more debt than assets,” Mr Musau told the Nation.

He said the government would have to relax its grip and give private investors a chance if it cannot provide sufficient funds to lift the carrier back onto its feet.

“We have no choice but to save the airline. It is not easy to run this kind of a business,” he said.

Ashanti research analyst Kamanda Morara said any airline could survive if its debts are restructured, unnecessary assets disposed and costs cut. He, however, agrees that if creditors demand what the airline owes them, then Kenya Airways will have to wind up.

Aviation analyst James Wanjagi said while both KQ and Ethiopian Airlines embarked on ambitious growth plans, KQ’s flopped, to its competitors’ advantage.


Financial year 2015-2016--- hasara inaendelea.


Kenya Airways has plunged deeper into the red after recording a Sh26.2 billion net loss for the year ended March 2016.

This is a worse performance compared to the Sh25.7 billion net loss that the national carrier recorded a year ago.

Annual results released on Thursday by the listed airline, known as KQ by its international code, showed that its net loss had worsened two per cent, largely due to foreign exchange losses and an increase of other costs, including interest on loans.
Ndege zenyewe za mkopo alafu wanachonga madomo hapa. Wamebaki kujazana tu huku
 
I wish you could say the same to South Sudan, nadhani na wao unashare border pia na wanamafuta mengi tuu. Are you embarrassed by them too? This is just a put down talk Kenya emewalisha watu wake for years about Tanzania. Ukienda Nairobi Leo ukawauliza watu ambao hawajui Tanzania watakuambia its a communist country nothing else after that. Lakini hakuna anajua kuhusu religion tolerance, au the gap between rich and poor is smaller in the region. Having big aircraft and paved roads it gives you a country but not a nation.
And what he forgets that, most of Kenyans are poor. Gap between rich and poor ni kubwa. Wengi wamekimbilia huku. Subiri titakapo anza kuwafukuza kurudi huko
 
regional integration is the way to go...just see how the EU has benefited countries like Portugal.....ila nyie mwafikiria mkijitenga mtafika mahali...doo! MTASHANGAA!!! ata rais kupanda ndege anaogopa wakati Rwanda ina make steps forward nyie bado mwapigana na media
Kumbe wasiwasi wenu ni sisi kujitenga. Mnajua mtaumia
 
And what he forgets that, most of Kenyans are poor. Gap between rich and poor ni kubwa. Wengi wamekimbilia huku. Subiri titakapo anza kuwafukuza kurudi huko
hakuna mtu amekimbilia kwenu kaka wacha ignorance...kenya is haboring the most refugees in the whole of Africa
 
Sio tunajitenga, tuna wengi wenye faida kwetu wa kuungana nao kifaida. Opportunities kwetu si kwa East Africa tu. Halafu kila wkt tunawaambia maendeleo kwetu si pesa wala vitu, ni ya watu, haswa ktk kujitambua.
Muulize hapo alipo ana nini. Maisha ya Watanzania huwezi linganisha na wakenya. Kenya maisha shida
 
Huijui Tz wewe, sekta ya utalii ni kadude kadogo sana, tukiipandisha ni kwa kujiongezea kipato tu, sisi tunaweza tegemea kilimo tena cha maindi tu tukawauzia wakenya na uchumi ukasonga tu. Wtz wengi wamejiari ktk sekta ya kilimo, kwahiyo hata kabla ya mibombadia hii irrigation scheme ingefaa sana kwa maendeleo ya watu wetu, kenya ni soko la uwakika kwa mazao ya chakula ya watz.. tena litadumu hadi kiama.
Ndio maana walipofunga mipaka chakula kisiende nje walianza kutapatapa. Na tunakoelekea bei tutakuwa tunapanga sisi.

Kwa kuongezea soko la vitoewo kutoka nje limezuiwa. Viwanda vya nyama kenya pigo tayari
 
Mmekosa bomba la mafuta mkalia kishenzi. Na bado huo ni mwanzo.
 
Pwahahahaa... Midanganyika kweli wako stressed...... Johana amewatenda... Nasikia hamjasafiri kwenda bara.... mtakula tu bata manzense
 
Hata hao Rwanda na Kenya pia walianza mdogomdogo kama tulivoanza cc, na usilazimishe maendeleo yaje kwa mwaka mmoja- na hiki ndo kinafikia mahala tunakuwa walalamishi na wakati huo hatufanyi kazi.
 
Back
Top Bottom