Tetesi: Wakati wowote mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) atazungumza na waandishi wa habari

Tetesi: Wakati wowote mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) atazungumza na waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
Hii movie ni nzuri ila kwa Taifa Letu inachangamoto sana.

Tusiposimama vizuri kuviangalia hivi vyama kwa Jicho la tatu hakika tunaweza tukavuna mabua.
 
Nashauri kama kweli upinzani wana Sera ya kuzuia ufujaji wa pesa ya taifa,tofauti na watawala,basi wasusie chaguzi zinazotokana ha mchezo huu ili wapite bila kupingwa hivyo gharama za campaign kuokolewa,pia muda wa kufanya siasa utaepukika.

Hii pia itasababisha watawala kutojisifia kuwa wamefungulia majukwaa ya siasa kwa gharama ya upinzani kupoteza viti vya uwakilishi.
 
Safiiii ccm haijawahi shindwa kitu toka enzi za chama kimoja.
 
Ukiondoa Luzuku hakuna upinzani nchini....hizo ni rasharasha masika bado.
[HASHTAG]#Mbowetuachiechamachetu[/HASHTAG]
 
Huyu mshikaji anaitwa nani.... Huwa anapata muda wa kufaragha na mke wake???

upload_2017-12-3_16-21-17.png
 
Huyu mbunge zuzu kwani anahamia ccm na wapiga kura waliompa ushindi 2015? Kama sio Basi anafanya maigizo ya kijinga sana.
Ni rahisi sana kutoka ccm na kuhama na wafuasi wako kuliko eti tulikuwa mpinzani kisha unaenda ccm kama vile kuna mabadiliko yeyote kwa maisha ya Mtanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom