Tetesi: Wakati wowote mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) atazungumza na waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
Nliwambia watu UKUTA akili zenu mkichanganya zote hazifiki kwa akili ya magufuli
 
Nashauri kama kweli upinzani wana Sera ya kuzuia ufujaji wa pesa ya taifa,tofauti na watawala,basi wasusie chaguzi zinazotokana ha mchezo huu ili wapite bila kupingwa hivyo gharama za campaign kuokolewa,pia muda wa kufanya siasa utaepukika.

Hii pia itasababisha watawala kutojisifia kuwa wamefungulia majukwaa ya siasa kwa gharama ya upinzani kupoteza viti vya uwakilishi.
Mkuu unakumbuka Zanzibar kwa maalim seif?
 
Ukiangalia yanayotokea katika siasa za Tanzania utadhani yanayofanyika ni comedy. Hii nchi inaweza kuwa ni yakwanza Duniani kwa haya yanayotokea
Nchi ya wajinga na wapumbavu, wategemea nini zaidi ya haya tuyaonayo?
 
Haya majitu ni hopeless kabisa kwani huwezi kumuunga rais ukiwa ndani ya chama cha CUF . Ama wanaajenda ya siri ambayo haipo wazi kwetu wanannchi.
 
Kimboka dizaini, kashafikia bei, kilichobaki ni kushusha suruali tu atandikwe "bakora"! ujinga mtupu
 
Hela zenu Kwao zimefuata nini??
Miaka yote CCM imekuwa ndio fisadi namba moja taja kashifa zote unazozijua mnufaika mkuu amekuwa chama na ndio maana watuhumiwa huwa hawafikishwi mahakamani wanajua wazi siri zitakuwa open wazi, amini nawaambia iko siku mtagundua kashifa kubwa kuwahi kutokea.
CCM haina hela ya kugharamia mradi mkubwa kama huu wa manunuzi toka kwenye ruzuku yake! Hii itakuwa inatokana na kodi zetu mtaniambia.
 
Hela zenu Ccm zimefuata nini??
 
Nashauri kama kweli upinzani wana Sera ya kuzuia ufujaji wa pesa ya taifa,tofauti na watawala,basi wasusie chaguzi zinazotokana ha mchezo huu ili wapite bila kupingwa hivyo gharama za campaign kuokolewa,pia muda wa kufanya siasa utaepukika.

Hii pia itasababisha watawala kutojisifia kuwa wamefungulia majukwaa ya siasa kwa gharama ya upinzani kupoteza viti vya uwakilishi.
Hili in wazo zuri sana! Natumaini viongozi wa vyama vya upinzani wamekusoma!
 
Hili ni dilisha dogo la usajiri watu wanafika bei tu, ila huyu ofisa anayehusika transfer atakua anapiga sana hela huko ccm!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom