ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Swala la kukomboa bombadier mpaka manunuzi ya wapinzani yaishe.Hela zenu Kwao zimefuata nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swala la kukomboa bombadier mpaka manunuzi ya wapinzani yaishe.Hela zenu Kwao zimefuata nini??
Kumbee...Swala la kukomboa bombadier mpaka manunuzi ya wapinzani yaishe.
Mkuu kwa siasa hakuna kitu kigeni,haya mambo kwa hapa kwetu yalikuwa hayajitokezi sana kutokana na mazingira na nyakati.Ukiangalia yanayotokea katika siasa za Tanzania utadhani yanayofanyika ni comedy. Hii nchi inaweza kuwa ni yakwanza Duniani kwa haya yanayotokea
Chadema kufa sio leo wala kesho chadema ni taasisi nyuma yake tuko wengi ZAIDI ya asilimia 70% ya wa Tanzania.
Sajilini mkimaliza mseme.
Kifo cha mende.Ndembendembe chalii!
ukifuatilia mienendo ya vyama vya upinzani utagundua kuwa kila chama cha upinzani kikifika kwenye peak hushuka kwa kasi ya ajabu mfano
Nccr
cuf
TLP
CDM japo inangangania kuto kufa lakini sioni jinsi kitavyo pona ukituo hiyo ruzuku ya 300 inayoliwa na wachache kwa sasa hivyo ambapo 2020 haitakuwepo na na ndicho kitakachohitimisha kifo cha CDM maana hawa watu wakipata hata wabunge 5 mwaka huo washukuru sana mungu
Unajua nimecheka bila kutarajia.Vita ya wenyeviti Magufuli 7- Mbowe 0,Zitto anakaribia kushuka daraja wakat ndio kwanza ligi inaanza
upinzani upo njiapanda
Naunga mkono bandiko hili. Tatizo katika nchi hii in elinu hasa elimu ya uraia (civic education). Inaonekana so RAIA pekee waliokosa elimu hii Bali hata wawakilishi wa wananchi katika ngazi mbali mbali hawana elimu ya uraia ya kutosha. Sielewi in kwanini iwe vigumu kwa mbunge au diwani kuelewa kuwa kufanya kazi za maendeleo ya wananchi haihitaji kuhama chama. Elimu elimu elimu!Hizi siasa si zakushabikia hata kidogo taifa linakula hasara kubwa, ni nani aliwaambia kuwa mbuge wa upinzanani huwezi kufanya kazi na raisi mpaka uwe ndani ya chama chake na pia kufanya kazi na mtu si lazima kumuung mkono lakini pia kwa kumkosoa , huu ni uchizi mkubwa elimu yetu mbovu na haya ni matunda yake.............
Naomba uelewe hela zetu namaanisha hela ya umma(serikali)Hela zenu Ccm zimefuata nini??
Definitely, you don't really trust your statement for fairly sure.Chadema kufa sio leo wala kesho chadema ni taasisi nyuma yake tuko wengi ZAIDI ya asilimia 70% ya wa Tanzania.
Sajilini mkimaliza mseme.
Acha kujifariji weweNachofurahi ni kua wasaliti wanazidi kujipambanua na kujiweka wazi,
Hapo mwanzo ingetuwia vigumu kuwagundua lakini sasa wameamua kujipambanua wenyewe ili tuwajue,
Ahsante Mungu kwa kuwapa akili hiyo ya kujiweka wazi.
Huo ndiyo ukweli na wanachohitaji ni elimu ya uraia. Kwa sasa wanaongozwa kwa kiasi kikubwa na mihemuko ya kisiasa kama matokeo ya ukosefu wa elimu ya uraia, ambayo hata raisi mwenyewe hana ya kutosha. Chini ya awamu hii tutarajie matukio ya kijinga mengi zaidi.Hawa watu ni wajinga sana
Mi naona bora wabunge wote wa upinzani na madiwani wajiuzulu nafasi zao na kurudi ccm maana 900 inapendeza zaidiTaarifa za kuaminika kutoka kwa Mbunge wa Mtwara mjini Mhe Maftah Nachuma kupitia CUF zinabainisha kuwa Mbunge huyo anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari ili kutangaza maamuzi magumu ya kisiasa.
Nachuma ambaye ni CUF Lipumba anatarajiwa kujivua uanachama wa CUF na kujiunga na CCM kwa lengo la kugombea tena nafasi ya Ubunge wa Mtwara Mjini kwa iketi ya CCM.
Taarifa zaidi zinadai kuwa mipango yote ya kumteua Nachuma kuwa mgombea kupitia CCM imekamilika, na amehakikishiwa support kubwa na uongozi wa CCM Taifa.
Stay Tuned, Humphrey Polepole aliposema kuna wapinzani zaidi ya 200 wanataka kuhamia CCM hakuwa anatania.
Pichani Mbunge huyo akiwa na Rais Magufuli
View attachment 643078