Tetesi: Wakati wowote mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) atazungumza na waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
Hivi umoja wa mataifa hauwezi kuingia kati hii biashara ya kununua watu nchi tanzania?
 
Reactions: BAK
Kalieni hayo ya usaliti chama kinaisha.
Kinaisha vipi sasa??
Kwani Chama kina Wanachama Wangapi na waliokweisha kwenda CCM mpaka sasa ni wangapi??
 
Reactions: BAK
Chadema kufa sio leo wala kesho chadema ni taasisi nyuma yake tuko wengi ZAIDI ya asilimia 70% ya wa Tanzania.

Sajilini mkimaliza mseme.
Mngaliweka tume huru na kutotumia vyombo vya dola kupiga risasi kuwauwa wapinzani tungaliwaamini
 
Umemaliza kuota utumbo
 
Kwaiyo uchaguzi tena?pesa za walipa kodi kutumika?stupid
 
Reactions: BAK
Waondoke CUF masikini wawe CDM? Akili ya kuvukia barabara hii

Ukute na wewe ulipewa mkopo
1. nimeisikitikia UKAWA kwa maana ya vyama vyote vilivyokuwa vinaunda hiyo kitu.....kufa ukawa ni kufa kwa vyama shiriki.
2. nimeisikitikia chadema kwa maana ndiye baba (kinara) katika huo ukawa....kulegalega ukawa ni kulegalega kwa chadema. laikini pia sikuishia hapo tu, niliangalia sura pana ya yanayoendelea katika hii hamahama ambapo kwa chadema imekuwa wengi mno kuliko hiyo cuf....hivyo nililiangalia kwa ujumla wake katika mustakabali wa upinzani na siyo yaliyo ndani ya thread hii tu!!!!!

kumbe wewe na hao wawili waliokulike hamna hata hizo akili za kuvukia barabara....too sad!
 
Hawa viongozi wetu wamepatwa na nini?
Walipewa mamlaka na wananchi kwa imani kubwa waliyokuwa nayo kwao.Miaka miwili hakuna walilolifanya la maana sasa wanabadilisha gia angani.
Kama tetesi hizi zina ukweli, pia taarifa ya jimbo la Kinondoni n.k yanaashiria usaliti wa wanasiasa kwa wapiga kura wao.Heri ya Nyalandu ambaye alilenga kujihami kabla hawajamvua uanachama wa CCM.Kwangu mimi,yeye alikuwa na hoja na sababu ya msingi ya kuchukua mwelekeo mpya kisiasa kwa dhana ya hali ilivyokuwa.Kwa hawa wengine,napata mashaka.
Tusubiri,tutaona mengi.
Time will tell...!
 
CHADEMA na washirika wake wanakufa. [emoji23][emoji23]
Acha kupayuka weye..!!
Taja Mbunge wa CHADEMA aliyejiiuzulu ukiiacha na wale madiwani wenye njaa waliionunuliwa kama WATUMWA...!!
Najua CUF Liipumbu wote wanarudi CCM very soon......!!!
Ni watu mazezeta na machizi hasa toka Lumumba ndo wanafurahia huu UHUNI......!
Kwanini CCM wanalazimiishaa kupendwa na Watz wote na kuliiingiza Taifa kwenye gharama za kijinga za kurudia Uchaguzi usio wa lazima.....!!!
CCM pumbaf kabisa...!!!
 
Vita ya wenyeviti Magufuli 7- Mbowe 0,Zitto anakaribia kushuka daraja wakat ndio kwanza ligi inaanza
Magu anacheza uwanja wa nyumbani. Marefa wa kati ni wake, wa pembeni ni wake, kamisaa ni wake. Hapo unategemea asishinde? Hata bao la mkono litakubaliwa tu. Mpira wa kona refa anaweza kuamua ipigwe penalti na ukibisha unapewa red card.
 
Magu anacheza uwanja wa nyumbani. Marefa wa kati ni wake, wa pembeni ni wake, kamisaa ni wake. Hapo unategemea asishinde? Hata bao la mkono litakubaliwa tu. Mpira wa kona refa anaweza kuamua ipigwe penalti na ukibisha unapewa red card?
Unaisema Yanga na goli la mkono la Tambwe....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 



Hujui chochote kuusu siasa tulia usubiri Mr time aongee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…