Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa.

Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi Tanzania
IMG-20220828-WA0006.jpg
 
Mie sijaona wadhungu wakiwa na mambo ya ajabu kama haya lakini fabo lao ndio kila leo tunatamani kuangalia
Wanafanya sema sio hadharani na hawayaendekezi sana kama sisi labda itokee hamna jinsi ukitaka kuthibitisha hilo angalia maandalizi ya mazishi ya malkia wa uingereza na process zake.
 
Hayo mazishi sie tunazingumzia mpira.
 
Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa.

Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi TanzaniaView attachment 2360700
Huyu ni Mtoto wa Line Police Kwa hiyo hapo pipa namfuniko.
 
Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa.

Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi TanzaniaView attachment 2360700
Mbona mkao wa...au basi
 
🤣🤣🤣 Timu mbovu, inafungwa hadi na mpinzani ambaye anacheza na 10 men!

Huu ujinga wa kuamini manabii sijui majibu mepesi ha mipango ya mungu tuache.
Kwa hiyo tusiwaamini manabii tuwaamini waganga?
 
Hapana sijasema hivyo. Nasema hawa manabii ni kuwapotezea tuu sawa na waganga pia. Tufanye vitu kwa kuamini katika taaluma na sio kutegemea miujiza ambayo haipo.
Uganga ungefanya kzi sii tungekuwa kila kombe la dunia letu
 
Back
Top Bottom