KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
AstonishingMie sijaona wadhungu wakiwa na mambo ya ajabu kama haya lakini fabo lao ndio kila leo tunatamani kuangalia
Naye mjedaNabii mwenyewe sasa...
Wanafanya sema sio hadharani na hawayaendekezi sana kama sisi labda itokee hamna jinsi ukitaka kuthibitisha hilo angalia maandalizi ya mazishi ya malkia wa uingereza na process zake.Mie sijaona wadhungu wakiwa na mambo ya ajabu kama haya lakini fabo lao ndio kila leo tunatamani kuangalia
Hayo mazishi sie tunazingumzia mpira.Wanafanya sema sio hadharani na hawayaendekezi sana kama sisi labda itokee hamna jinsi ukitaka kuthibitisha hilo angalia maandalizi ya mazishi ya malkia wa uingereza na process zake.
Huyu ni Mtoto wa Line Police Kwa hiyo hapo pipa namfuniko.Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa.
Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi TanzaniaView attachment 2360700
Mbona mkao wa...au basiTimu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa.
Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi TanzaniaView attachment 2360700
🤣🤣🤣 Timu mbovu, inafungwa hadi na mpinzani ambaye anacheza na 10 men!Hata sasa Mungu ameisaidia timu hii
Kwa hiyo tusiwaamini manabii tuwaamini waganga?🤣🤣🤣 Timu mbovu, inafungwa hadi na mpinzani ambaye anacheza na 10 men!
Huu ujinga wa kuamini manabii sijui majibu mepesi ha mipango ya mungu tuache.
Hata angekuwa MndengerekoNabii mchaga???
Hapana sijasema hivyo. Nasema hawa manabii ni kuwapotezea tuu sawa na waganga pia. Tufanye vitu kwa kuamini katika taaluma na sio kutegemea miujiza ambayo haipo.Kwa hiyo tusiwaamini manabii tuwaamini waganga?