Wakatoliki boresheni Ibada zenu

Ulikuwa na malengo yako mengine ndugu mpendwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bora udili na vinavyoonekana kuliko kuomba vitu usivyoviona wala kuwa na uhakika kama vipo mkuu , sikutoka kapa master.
 
Huo utaratibu ni nadra kutokea kwa wakatiliki,akitambulishwa kanisani ni kiongoz wa kisiasa ama Fratery au shemasi mpya aliyeitembelea parokia
 
Tunaenda na muda mkuu, fikiria tuna ibada 3, alafu Kila ibada wamesali wageni 30 au 50, muda SI utatumika kutambulishana Kama ni mgeni umekuja RC subiri muda WA sadaka toa SADAKA Yako NENDA NA BARAKA TELE haya Kila mtu akujue sisi HATUNA hizo habari๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Parokia ya Njiro Arusha kila jumapili wanaimbia happy birthday wote waliozaliwa hiyo wiki
 
Kanisa lilishatoka kwenye promotion ya kuuza sura . Hivyo kama umekuja Kusali ,Omba Mungu wako chapa lapa ,kama unataka kujiunga na kanisa nenda mafundisho
 
Nakumbuka fld yangu ya kwanza vjjni saana huko singida ,kulikuwa hakuna kanisa la kikatoliki karibu nikaenda kusali Lutheran church, mara ya kwanza nkaskia wageni tujitambulishe

, ndio mara ya kwanza kukutana na kitu cha namna hio tukajtambulisha wala haikuwa ttzo , nkasali mpaka nkamaliza fld yangu nkarudi kwetu

Ni utaratibu tu watu waliojiwekea.
 
Kujitambulisha ni rahisi kwa kanisa lenye waamini 50,100 kanisa katoriki waamini ni wengine,pia hakuna mambo ya kufatiliana,ni wewe na Mungu wako.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Mgeni ukaribishwe ili iweje ? Huu utaratibu huwa unanikwaza sana...

Muombe Mungu wako usepe.
Sahihi sana. Na mara nyingi utaratibu huu watu wengine wamekuwa wakilazimishwa kutenda dhambi kwa sababu wengi hawapendi kujitambulisha. Sasa Ile kuambiwa ''kama ni mara yako ya kwanza kusali nasi usimame'', wengi hawasimamagi. Hapo tayari ushadanganya. Unachumishwa dhambi hivi hivi bila sababu yoyote ya msingi๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก. Yaani unachumishwa dhambi kwa ajili ya makofi mazito matatu!!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜. KKKT na makanisa ya kirohi yaige RC, yaachane Na utaratibu huu.
 
Haina hata maana...
Eti usimame upigiwe makofi..ili iweje sasa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ