min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kanisan kuna mawindo mazuri wadada huwa wanavutia sana na huu uvaaji wao wa stara.Kijana wangu wa hovyo sana wewe! Hadi kanisani unawinda?? 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisan kuna mawindo mazuri wadada huwa wanavutia sana na huu uvaaji wao wa stara.Kijana wangu wa hovyo sana wewe! Hadi kanisani unawinda?? 🤣
Bora udili na vinavyoonekana kuliko kuomba vitu usivyoviona wala kuwa na uhakika kama vipo mkuu , sikutoka kapa master.Ulikuwa na malengo yako mengine ndugu mpendwa🤣🤣🤣
Tunaenda na muda mkuu, fikiria tuna ibada 3, alafu Kila ibada wamesali wageni 30 au 50, muda SI utatumika kutambulishana Kama ni mgeni umekuja RC subiri muda WA sadaka toa SADAKA Yako NENDA NA BARAKA TELE haya Kila mtu akujue sisi HATUNA hizo habari😂😂Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.
Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.
1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.
2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.
Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Parokia ya Njiro Arusha kila jumapili wanaimbia happy birthday wote waliozaliwa hiyo wikiTaratibu za kukaribisha wageni sio universal kwetu wakatoliki. Inatofaitiana kati ya kigango na kigango au parokia.
Kwa mfano parokia yetu kila mwisho wa mwezi baada ya zaka hua tunaimbia watu Happy birthday waliozaliwa mwezi uliopita. Je ambao parokia zao hawafanyi hivo walaumiwe??
Kanisa lilishatoka kwenye promotion ya kuuza sura . Hivyo kama umekuja Kusali ,Omba Mungu wako chapa lapa ,kama unataka kujiunga na kanisa nenda mafundishoHabari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.
Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.
1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.
2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.
Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
FactJiunge na jumuiya ndogondogo watakutambua,huko uliko
Kujitambulisha ni rahisi kwa kanisa lenye waamini 50,100 kanisa katoriki waamini ni wengine,pia hakuna mambo ya kufatiliana,ni wewe na Mungu wako.Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.
Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.
1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.
2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.
Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Sahihi sana. Na mara nyingi utaratibu huu watu wengine wamekuwa wakilazimishwa kutenda dhambi kwa sababu wengi hawapendi kujitambulisha. Sasa Ile kuambiwa ''kama ni mara yako ya kwanza kusali nasi usimame'', wengi hawasimamagi. Hapo tayari ushadanganya. Unachumishwa dhambi hivi hivi bila sababu yoyote ya msingi😡😡. Yaani unachumishwa dhambi kwa ajili ya makofi mazito matatu!!😏😏😏. KKKT na makanisa ya kirohi yaige RC, yaachane Na utaratibu huu.Mgeni ukaribishwe ili iweje ? Huu utaratibu huwa unanikwaza sana...
Muombe Mungu wako usepe.
Haina hata maana...Sahihi sana. Na mara nyingi utaratibu huu watu wengine wamekuwa wakilazimishwa kutenda dhambi kwa sababu wengi hawapendi kujitambulisha. Sasa Ile kuambiwa ''kama ni mara yako ya kwanza kusali nasi usimame'', wengi hawasimamagi. Hapo tayari ushadanganya. Unachumishwa dhambi hivi hivi bila sababu yoyote ya msingi😡😡. Yaani unachumishwa dhambi kwa ajili ya makofi mazito matatu!!😏😏😏. KKKT na makanisa ya kirohi yaige RC, yaachane Na utaratibu huu.