Wakatoliki boresheni Ibada zenu

Wakatoliki boresheni Ibada zenu

Kijana wangu wa hovyo sana wewe! Hadi kanisani unawinda?? 🤣
Kanisan kuna mawindo mazuri wadada huwa wanavutia sana na huu uvaaji wao wa stara.
1709004580570.jpg
 
Huo utaratibu ni nadra kutokea kwa wakatiliki,akitambulishwa kanisani ni kiongoz wa kisiasa ama Fratery au shemasi mpya aliyeitembelea parokia
 
Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.

Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.

1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.

2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.

Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.

Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Tunaenda na muda mkuu, fikiria tuna ibada 3, alafu Kila ibada wamesali wageni 30 au 50, muda SI utatumika kutambulishana Kama ni mgeni umekuja RC subiri muda WA sadaka toa SADAKA Yako NENDA NA BARAKA TELE haya Kila mtu akujue sisi HATUNA hizo habari😂😂
 
Taratibu za kukaribisha wageni sio universal kwetu wakatoliki. Inatofaitiana kati ya kigango na kigango au parokia.

Kwa mfano parokia yetu kila mwisho wa mwezi baada ya zaka hua tunaimbia watu Happy birthday waliozaliwa mwezi uliopita. Je ambao parokia zao hawafanyi hivo walaumiwe??
Parokia ya Njiro Arusha kila jumapili wanaimbia happy birthday wote waliozaliwa hiyo wiki
 
Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.

Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.

1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.

2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.

Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.

Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Kanisa lilishatoka kwenye promotion ya kuuza sura . Hivyo kama umekuja Kusali ,Omba Mungu wako chapa lapa ,kama unataka kujiunga na kanisa nenda mafundisho
 
Nakumbuka fld yangu ya kwanza vjjni saana huko singida ,kulikuwa hakuna kanisa la kikatoliki karibu nikaenda kusali Lutheran church, mara ya kwanza nkaskia wageni tujitambulishe

, ndio mara ya kwanza kukutana na kitu cha namna hio tukajtambulisha wala haikuwa ttzo , nkasali mpaka nkamaliza fld yangu nkarudi kwetu

Ni utaratibu tu watu waliojiwekea.
 
Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.

Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.

1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.

2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.

Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.

Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Kujitambulisha ni rahisi kwa kanisa lenye waamini 50,100 kanisa katoriki waamini ni wengine,pia hakuna mambo ya kufatiliana,ni wewe na Mungu wako.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Mgeni ukaribishwe ili iweje ? Huu utaratibu huwa unanikwaza sana...

Muombe Mungu wako usepe.
Sahihi sana. Na mara nyingi utaratibu huu watu wengine wamekuwa wakilazimishwa kutenda dhambi kwa sababu wengi hawapendi kujitambulisha. Sasa Ile kuambiwa ''kama ni mara yako ya kwanza kusali nasi usimame'', wengi hawasimamagi. Hapo tayari ushadanganya. Unachumishwa dhambi hivi hivi bila sababu yoyote ya msingi😡😡. Yaani unachumishwa dhambi kwa ajili ya makofi mazito matatu!!😏😏😏. KKKT na makanisa ya kirohi yaige RC, yaachane Na utaratibu huu.
 
Haina hata maana...
Eti usimame upigiwe makofi..ili iweje sasa😅😅
 
Back
Top Bottom