Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mkuu mpaka leo unaamini Roman Catholic ni wakristo (kama walivyoitwa waumini wa Kanisa la Antiokia kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume)? Kama ndivyo pole sana maana matendo ya waRoman Catholic yanakinzana pakubwa sana na walivyotenda wakristo na kufanana pakubwa sana na walivyotenda wapagani.Yaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU.
Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita "Matakatifu", huyohuyo mnamuomba awaombee Kwa Mungu?.
Mbona ni wazi na suala la akili Mdogo tu kua Mfu Hana lolote alijualo Wala kulisikia wala Hana mawasiliano yoyote yale na Mungu .
Ukiristo wenu ni wa aina gan?
Bila shaka we ni msabato maana ndo huwa mko busy na Roman Catholic, Kama kufanya hivo hakukupunguzii chochote katika maisha yako wapotezee, Tangu bibi yenu E.G.White mmekomaa na RC , wao wako busy na mambo yao.Yaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU.
Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita "Matakatifu", huyohuyo mnamuomba awaombee Kwa Mungu?.
Mbona ni wazi na suala la akili Mdogo tu kua Mfu Hana lolote alijualo Wala kulisikia wala Hana mawasiliano yoyote yale na Mungu .
Ukiristo wenu ni wa aina gan?
RC ni imani ya asili ya Warumi wakachanganya na Ukristo robo.Yaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU.
Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita "Mtakatifu", huyohuyo mnamuomba awaombee Kwa Mungu?.
Mbona ni wazi na suala la akili ndogo tu na huhitajiki kua na Uelewa mkubwa wa masuala ya kiroho ndo ujue kua Mfu Hana lolote alijualo Wala kulisikia wala Hana mawasiliano yoyote yale na Mungu .
Ukiristo wenu ni wa aina gan?
Sasa Mkatoliki asiyejua kusoma Biblia kwani wao husomewa na Padri ataweza kubishana kitu gani na Msabato aliyemeza Biblia yote?ππBila shaka we ni msabato maana ndo huwa mko busy na Roman Catholic, Kama kufanya hivo hakukupunguzii chochote katika maisha yako wapotezee, Tangu bibi yenu E.G.White mmekomaa na RC , wao wako busy na mambo yao.
Mmepuuzwa bado mmo tu, ukishapuuzwa automatically we ni mpuuzi.Kila mtu abaki na anachoamini
kiongozi kuna rejea ya ayo uliyoandika apa? tuwekee kama ipo tujadili kitu kilichosimamaYaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU.
Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita "Mtakatifu", huyohuyo mnamuomba awaombee Kwa Mungu?.
Mbona ni wazi na suala la akili ndogo tu na huhitajiki kua na Uelewa mkubwa wa masuala ya kiroho ndo ujue kua Mfu Hana lolote alijualo Wala kulisikia wala Hana mawasiliano yoyote yale na Mungu .
Ukiristo wenu ni wa aina gan?
Simply ni kwa sababu hiyo ni Imani ya Kanisa Katoliki (sio ya kila mtu). Hayo maandiko unayosema hawasomi, ni kwamba yametoka katika Kanisa Katoliki, na mengine yapo yamehifadhiwa. Kwa ufupi ni kwamba wewe utayaita maandiko kwa kadiri utakavyopewa na Kanisa KatolikiYaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Sio kweli !! Maandiko hayajawah kuandaliwa na Ukatoliki, na kama unajua historia vizur, ni Wakatoliki haohao wakati wa utawala wa Rumi zama za Giza, waliamuru kuwaua Wakristo wote walokua wakikutwa na maandiko matakatifu , wakachoma sana BIBLIA lkn bado hawakufanikiwa.Hayo unayoyaita maandika, ni ukatoliki ndio uliyoyaandaa.
Kulikuwa na injili zaidi ya 20, wakatoliki wakakaa wakaamua ziwe nne, leo hii unawaita wanapotoka!
Jibu fupi ni kwamba, hiyo ni imani yao, waachie wao, we endelea na yako!
Ukatoliki umejaa ibada za kipagani. X Mas ni upagani, ubatizo wa watoto ni upagani, kuombewa na watakatifu ni upagani na ibada za mizimuYaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU.
Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita "Mtakatifu", huyohuyo mnamuomba awaombee Kwa Mungu?.
Mbona ni wazi na suala la akili ndogo tu na huhitajiki kua na Uelewa mkubwa wa masuala ya kiroho ndo ujue kua Mfu Hana lolote alijualo Wala kulisikia wala Hana mawasiliano yoyote yale na Mungu .
Ukiristo wenu ni wa aina gan?
Kwa hiyo mnasoma biblia ili mbishane na Roman Catholic? Ni kitu gani tangible mnawazidi Roman? Yaani nyie hata waume zenu wakishindwa kuwapa mimba mtasingizia RomanSasa Mkatoliki asiyejua kusoma Biblia kwani wao husomewa na Padri ataweza kubishana kitu gani na Msabato aliyemeza Biblia yote?ππ